• Nairobi
  • Last Updated April 25th, 2024 11:05 AM

Idadi ya waliopoteza maisha kwenye tetemeko la ardhi nchini Morocco yafika 1,037

MASHIRIKA Na CHARLES WASONGA TAARIFA iliyotolewa jioni na Wizara ya Masuala ya Ndani ya Morocco inasema kuwa watu 1,037 wamethibitishwa...

Watu 632 wafariki kwenye tetemeko kubwa la ardhi nchini Morocco

NA MASHIRIKA RABAT, MOROCCO IDADI ya walioangamia nchini Morocco kufuatia tetemeko la ardhi imefika watu 632, mkuu wa ufuatiliaji wa...

Maumivu Tanzania bei ya mafuta ikipaa na kupita ya Kenya

GEORGE HELAHELA, MCL na CHARLES WASONGA KIVUMBI kimetokea nchini Tanzania baada ya Mamlaka ya Udhibiti wa Huduma za Nishati na Maji...

Watu 70 wafariki kwenye mkasa wa moto Johannesburg

NA MASHIRIKA JOHANNESBURG, AFRIKA KUSINI ZAIDI watu 70 wameaga dunia na wengine 43 kujeruhiwa baada ya moto kuzuka katika jengo moja...

Utata Gabon wanajeshi wakifuta matokeo ya urais

BENSON MATHEKA Na MASHIRIKA LIBREVILLE, GABON GABON inashuhudia wingu jeusi baada ya dazani ya wanajeshi kujitokeza kwa runinga ya...

Muuzaji mitishamba akamatwa kwa kuuza dawa zilizopigwa marufuku

NA DAILY MONITOR KAMPALA, UGANDA MUUZAJI mmoja wa mitishamba nchini Uganda amekamatwa kwa kupatikana akiwa na dawa zilizopigwa marufuku...

Ripoti zasema Yevgeny Prigozhin wa Wagner ameangamia

NA MASHIRIKA MOSCOW, Urusi KIONGOZI wa Mamluki wa Wagner Yevgeny Prigozhin ni miongoni mwa watu 10, ambao inahofiwa wameangamia baada...

Vyama vya upinzani Afrika Kusini vyakula njama kuondoa ANC madarakani

NA MASHIRIKA PRETORIA, AFRIKA KUSINI VYAMA saba vya kisiasa nchini Afrika Kusini vimefanya makubaliano ya kuunda muungano wa kuondoa...

Idadi ya watu walioangamia kwenye mkasa wa moto Hawaii yagonga 106

NA AFP KAHULUI, Amerika IDADI ya watu waliokufa katika mkasa mkubwa wa moto ulioanzia kwenye maeneo ya misitu katika mji mmoja wa...

Ushoga: World Bank yauma miradi ya umma Uganda

NA AFP KAMPALA, UGANDA BENKI ya Dunia almaarufu World Bank mnamo Jumanne ilitangaza kwamba imesitisha kufadhili miradi ya umma nchini...

Utawala wa kijeshi wafunga anga ya Niger

NA MASHIRIKA NIAMEY, NIGER VIONGOZI wa utawala wa kijeshi nchini Niger, sasa wamefunga anga ya taifa hilo, baada ya kukaidi makataa...

Wakenya sasa kukamuliwa

NA CHARLES WASONGA SERIKALI imeanza ‘kuwang’ata’ raia baada ya kutangaza kuwa wafanyakazi wanaopokea mishahara kila mwezi...