• Nairobi
  • Last Updated April 25th, 2024 7:45 AM

SADC sasa kupeleka kikosi DRC

NA AFP WINDHOEK, NAMIBIA MATAIFA ya Kusini mwa Afrika yamekubali kupeleka wanajeshi kusaidia katika kukomesha mapigano mashariki mwa...

Gachagua: Machifu 20 na manaibu kufutwa kwa kushindwa kuzima pombe haramu

Na WAIKWA MAINA NAIBU Rais Rigathi Gachagua amewaonya machifu wote, wasaidizi wao na maafisa wa usalama watakaoshindwa kukomesha pombe...

Raila alalamikia Kenya Kwanza kuendelea ‘kununua’ wabunge

Na SAMMY WAWERU KINARA wa Azimio la Umoja Raila Odinga ameisuta kwa mara nyingine serikali ya Kenya Kwanza akidai ina njama kuzima...

Wananchi kuwa na usemi mkuu katika biashara ya pombe

Na RICHARD MUNGUTI USHIRIKI wa umma katika utoaji leseni za kuweka mabaa utapewa kipau mbele kabla ya yeyote kuanza kuuza pombe, Taifa...

KMJA yaeleza hofu baada ya afisa wa mahakama kuuawa kwa kupigwa risasi

Na RICHARD MUNGUTI CHAMA cha majaji na mahakimu nchini (KMJA) kimesikitishwa na mauaji ya mfanyakazi wa mahakama ya Migori Phoebe Auma...

Mfalme Charles III kuongoza nchi 15

Na RICHARD MUNGUTI MFALME Charles III aliyetawazwa jana katika hafla iliyohudhuriwa na viongozi mbalimbali atakuwa Rais na Kiongozi wa...

Marais waalikwa wafuatilia hafla kwenye runinga

Na CHARLES WASONGA WAGENI wa hadhi ya juu jana walihudhuria halfa ya kipekee ya kumtawaza Mfalme mpya Charles III jijini London,...

Mbwembwe mfalme akichukua usukani

WANDERI KAMAU NA MASHIRIKA MFALME Charles III wa Uingereza na mkewe, Camilla, jana Jumamosi walitawazwa rasmi kama mfalme na malkia wa...

MFALME CHARLES III AVIKWA TAJI: Marais waalikwa wafuatilia hafla kwenye runinga

NA CHARLES WASONGA WAGENI wa hadhi ya juu Jumamosi wamehudhuria halfa ya kipekee ya kumtawaza Mfalme mpya Charles III jijini London,...

Mfalme Charles III atawazwa rasmi kwenye sherehe babukubwa

NA MASHIRIKA LONDON, UINGEREZA MFALME Charles III amekula kiapo kwenye sherehe ya kipekee iliyoandaliwa Jumamosi, Mei 06, 2023...

Sudan: Amerika yatishia kuweka vikwazo vipya

NA MASHIRIKA WASHINGTON DC, AMERIKA RAIS wa Amerika Joe Biden amesema mzozo wa Sudan unapaswa kudhibitiwa huku akitishia kuweka...

Ugonjwa wa Covid-19 si tena janga la dharura kimataifa – WHO

NA MASHIRIKA COVID-19 si tena janga la dharura kimataifa, Shirika la Afya Duniani (WHO) limetangaza Ijumaa, Mei 05, 2023 kuashiria hatua...