• Nairobi
  • Last Updated April 24th, 2024 5:50 AM

Mfalme Charles III aahidi kufuata nyayo za mamake

NA MASHIRIKA MFALME wa Uingereza Charles III amesema alihisi "uzito wa historia" na akaapa kufuata mfano uliowekwa na marehemu mama...

Jeshi la Somalia laangamiza magaidi 100 wa Al-Shabaab

NA MASHIRIKA MOGADISHU, SOMALIA JESHI la Kitaifa la Somalia (SNA) linaloungwa mkono na wanamgambo wa eneo hilo wanaoitwa Ma'awisley...

Ukraine yakomboa miji iliyokaliwa na Urusi

NA MASHIRIKA KYIV, UKRAINE VIKOSI ya Urusi vimejiondoa katika miji muhimu mashariki mwa Ukraine, huku vikosi vya Ukraine vikiendelea...

Wito Mfalme Charles III arejeshe fuvu la Koitalel

NA TOM MATOKE JAMII ya Nandi imemwomba Mfalme Charles III kufanikisha kurejeshwa nchini kwa fuvu la kichwa cha kiongozi wao wa...

Charles III kutawazwa leo kumrithi mama yake Malkia Elizabeth II

MASHIRIKA na WINNIE ONYANDO MWANAMFALME Charles III anatarajiwa kutawazwa rasmi leo kumrithi Malkia Elizabeth aliyega dunia...

Afrika yaomboleza Elizabeth lakini yakumbuka udhalimu wa Uingereza dhidi ya weusi

NA CECIL ODONGO KIFO cha Malkia Elizabeth II kimetonesha vidonda vya nchi nyingi za Afrika zilizoathiriwa na ukatili wa utawala wa...

Viongozi wa Ulimwengu wamwomboleza Malkia Elizabeth II

NA MASHIRIKA LONDON, UINGEREZA VIONGOZI kote ulimwenguni wameungana kuomboleza kifo cha Malkia Elizabeth wa Uingereza ambaye alifariki...

Rais atimua waziri mkuu, ashuku njama kumpindua

NA THE EASTAFRICAN BUJUMBURA, BURUNDI RAIS Evariste Ndayishimiye ametimua waziri mkuu wa nchi hiyo huku akidai kuwa kuna njama ya...

7 wauawa katika mapigano Sudan

NA MASHIRIKA KHARTOUM, Sudan WATU saba wameauawa katika mapigano mapya ya kikabila yaliyotokea kusini mwa jimbo la Blue Nile, shirika...

100 wafa, maelfu wapoteza makao katika janga la mafuriko nchini Sudan

NA MASHIRIKA KHARTOUM, SUDAN ZAIDI ya watu 100 wameuawa na maelfu ya wengine kuachwa bila makao kutokana na mafurika yaliyosababishwa...

Waingereza kupata waziri mkuu mpya Jumatatu, Boris akiondoka

NA MASHIRIKA LONDON, Uingereza RAIA wa Uingereza watajua waziri mkuu wao atakayerithi Boris Johnson, Jumatatu, wiki ijayo. Waziri...

Ujumbe wa UN kukagua kituo cha nyuklia Ukraine

NA MASHIRIKA NEW YORK, AMERIKA UMOJA wa Mataifa (UN) umetuma kikosi maalum kuchunguza na kufuatilia hali inavyoendelea katika Kituo...