• Nairobi
  • Last Updated April 25th, 2024 10:21 AM

Watu 26 wauawa kwenye mapigano mapya Sudan Kusini

NA REUTERS JUBA, SUDAN KUSINI MAPIGANO yanayoendelea baina ya makundi tofauti magharibi mwa Sudan Kusini yamesababisha vifo vya...

Mfalme Charles aahirisha shughuli rasmi baada ya kugunduliwa anaugua saratani

NA WANDERI KAMAU MFALME Charles III wa Uingereza amethibitishwa kuugua saratani,  yalisema makao ya kifalme ya Buckingham, kwenye taarifa...

Rais wa moja ya taifa thabiti zaidi kidemokrasia Afrika, Namibia, afa kwa saratani

NA WANDERI KAMAU RAIS William Ruto, Jumapili aliwaongoza Wakenya kutuma rambirambi kwa watu wa Namibia, kufuatia kifo cha Rais Hage...

Mtakuja kuelewa umuhimu wa kubariki mashoga – Papa

NA MASHIRIKA VATICAN CITY, VATICAN KIONGOZI wa Kanisa Katoliki Duniani Papa Francis amesema katika mahojiano yaliyochapishwa Jumatatu...

Italia yaahidi ushirikiano mzuri, yakataza Afrika tabia ya ukupe

NA HASSAN WANZALA BARA la Afrika litatengewa nafasi na kupewa zingatio maalum katika ajenda ya Italia kwenye kipindi chake cha urais wa...

Guterres ataka nchi kuendelea kutoa misaada kwa raia Gaza

NA AFP KATIBU Mkuu wa Umoja wa Mataifa (UN) Antonio Guterres ameyasihi mataifa fadhili kuendelea kufanya hisani kwa shirika lake la...

Waziri matatani kwa kukejeli watu wenye njaa

NA WANDERI KAMAU WAZIRI mmoja nchini Uganda, ameshtumiwa vikali baada ya kuwaita watu waliofariki kutokana na njaa nchini humo kuwa...

Watoto wa Mr Ibu waiba Sh9.9m za kugharimia matibabu yake

NA MASHIRIKA LAGOS, NIGERIA WANA wawili wa mwigizaji staa wa Nigeria, John Okafor almaarufu Mr Ibu, walikamatwa kwa madai ya kuiba...

Jamii za wafugaji Kenya, Uganda zashauriana namna ya kugawana nyasi

OSCAR KAKAI Na LABAAN SHABAAN VIONGOZI wa jamii ya Wapokot walioenda kuomba waruhusiwe kulisha mifugo yao nchini Uganda...

Saudi Arabia kufungua duka la pombe kwa mabalozi

NA MASHIRIKA RIYADH, SAUDI ARABIA SAUDI Arabia inajiandaa kufungua duka la pombe la kwanza jijini Riyadh kuhudumia mabalozi pekee...

Biden motoni wanaharakati Amerika wakitaka asiwanie urais

NA MASHIRIKA WASHINGTON, AMERIKA WANAHARAKATI na watetezi wa haki za binadamu nchini Amerika sasa wanataka Rais wa nchi hiyo, Joe Biden,...

Rais mkongwe wa Liberia nusura azirai akisoma hotuba ya kiapo

NA LABAAN SHABAAN RAIS wa Liberia Joseph Boakai alishindwa kuhimili jua kali la Monrovia nusura azirai alipokuwa anasoma hotuba baada ya...