• Nairobi
  • Last Updated April 23rd, 2024 1:08 PM

Kamata Linturi ikiwa unataka kujitakasa kuhusu mbolea feki, Khalwale aambia Ruto

Na SHABAN MAKOKHA SENETA wa Kakamega, Boni Khalwale, amemtaka Rais William Ruto kudhihirisha hayumo ndani sakata ya mbolea ghushi...

Kenya Power: Vijiji vyote vitakuwa na pikipiki, magari ya stima kufikia 2025

NA LABAAN SHABAAN  KILA Kijiji nchini kitakuwa na angalau chombo cha usafiri kinachotumia umeme kufikia mwaka wa 2015. Haya ni...

Wasiwasi usherati ukichacha katika kambi ya waathiriwa wa mafuriko

SHABAN MAKOKHA NA VICTOR RABALLA WAATHIRIWA wa mafuriko katika eneo la Bunyala, Kaunti ya Busia, wamelalamikia ongezeko la vitendo vya...

Kaunti ya Samburu yageukia maombi ili kukabili ujangili

NA GEOFFREY ONDIEKI UTAWALA wa Kaunti ya Samburu sasa umeamua kugeukia maombi kama njia ya kukomesha ujangili ambao umesababisha vifo vya...

Watu sita waangamia, saba wakipata majeraha katika ajali ya magari ya kibinafsi Narok

VITALIS KIMUTAI NA LABAAN SHABAAN WATU 6 wamefariki na wengine 7 kujeruhiwa katika ajali ya barabara Narok Jumapili usiku. Hii ni...

Madiwani wasuka tena mpango wa kumtimua Kawira

Na DAVID MUCHUI MASAIBU ya Gavana wa Meru, Kawira Mwangaza yanaendelea huku madiwani wakipanga jaribio la nne la kumbandua baada ya...

Simanzi kwa Kaunti ya Kirinyaga wakazi wakizika wanajeshi wawili kufuatia mkasa wa helikopta

Na GEORGE MUNENE MAAFISA wawili wa Jeshi waliofariki wakati helikopta ilipoanguka eneo ya Elgeyo Marakwet watazikwa wiki hii katika...

Jinsi usalama ungali donda ndugu kwa wanahabari wanaofuatilia habari za ulanguzi wa wanyamapori

Na PAULINE ONGAJI WAHARIRI nchini wamehimizwa kuwasaidia wanahabari ili kuboresha uanahabari unaoangazia ulanguzi wa wanyamapori na...

Wanaopuuza onyo la mafuriko kuhamishwa kwa lazima

STEPHEN ODUOR Na BRIAN OCHARO SERIKALI imeonya kwamba wakulima katika Kaunti ya Tana River ambao wanakaidi ushauri wa mafuriko,...

Mwana aahidi jamii miradi sawa na babake Ogolla

NA BENSON MATHEKA MWANAWE Jenerali Francis Ogolla, Joel Rabuku, ameahidi kuendelea na moyo wa baba yake wa kusaidia jamii kwa kukarabati...

Mwanawe Jenerali Ogolla afichua mali haikumfurisha kichwa CDF

NA MARY WANGARI MISAFARA ya magari ya kifahari na mali aliviona kama ubatili mtupu, marehemu Jenerali Francis Ogolla, atakayezikwa...

Kenya, Uganda zaungana kuboresha utalii

NA NEHEMIAH OKWEMBAH WASHIKADAU katika sekta ya utalii kutoka Kenya na taifa jirani la Uganda wameimarisha mipango ya kuboresha uhusiano...