• Nairobi
  • Last Updated April 24th, 2024 10:08 PM

Maswali yaibuka kuhusu Gachagua kudhalilisha majadiliano yanayoendelea

Na CHARLES WASONGA MASWALI yanaibuliwa kuhusu sababu zinazomfanya Naibu Rais Rigathi Gachagua kupinga mazungumzo ya maridhiano kati ya...

Mrembo njia panda baada ya wanaume wawili kudai ndio baba halisi wa mtoto

KAMAGUT, ELDORET Na TOBBIE WEKESA Kidosho mmoja wa eneo hili alijipata kwenye njia panda wakati makalameni wawili walipowasili na...

Mwanamume ashtakiwa kuhusisha Jenerali Ogolla na maandamano ya Azimio

Na RICHARD MUNGUTI MWANAJESHI wa zamani ameshtakiwa kuchapisha habari za uwongo katika mitandao ya kijamii akidai Mkuu wa Majeshi (CDF)...

Mwili wa mwanamume wapatikana kwenye tanuri la uchomaji makaa

Na MWANGI MUIRURI  Mwili wa mwanamume katika Kaunti ya Murang'a umepatikana ukiwa ndani ya gunia na ukiwa juu ya tanuri la uchomaji...

HIVI PUNDE: Serikali yakubali kuongezea walimu mshahara

NA DAVID MUCHUNGUH WALIMU ni miongoni mwa watumishi wa umma watakaokuwa na tabasamu hivi sasa baada ya serikali kukubali nyongeza yao ya...

Raila motoni kwa kutishia kurejelea maandamano

Na SHABAN MAKOKHA VIONGOZI wa Kenya Kwanza wamemkashifu kiongozi wa Azimio la Umoja One Kenya, Raila Odinga kwa kutishia kuagiza wafuasi...

Wetang’ula afichua alikuwa wakili wa Atwoli punde alipofuzu

NA SAMMY WAWERU SPIKA wa Bunge la Kitaifa, Moses Wetangula amefichua kuhusu mteja wake wa kwanza alipohitimu kama mwanasheria chuoni....

Vijana wa Eldoret walioahidiwa kazi nchini Qatar wataka warudishiwe pesa zao

Na JARED NYATAYA Vijana anaodai kutapeliwa pesa zao kwa ahadi ya kupelekwa nchini Qatar kufanya kazi wakati wa Kombe la Dunia...

Wanaharakati walaani hatua ya wanawake Lamu kufungiwa milango jeshini

NA KALUME KAZUNGU WANAHARAKATI wa kijamii na miungano ya akina mama kaunti ya Lamu imelaani vikali kuzuiliwa kwa wanawake wa tarafa za...

Mhadhiri atiliwa ‘mchele’, agundua kilabuni kuna walimu tosha

NA LABAAN SHABAAN MHADHIRI wa Chuo Kikuu cha Kenyatta (KU), anaendelea kupokea matibabu baada ya kutiliwa dawa za kupoteza fahamu katika...

Vikosi vya ujasusi, EACC kuwa macho usajili wa makurutu wa jeshi ukianza

Na KALUME KAZUNGU Naibu Mkuu wa Majeshi Jonah Mwangi amezindua zoezi la kitaifa la kuajiri makurutu kujiunga na Jeshi la Kitaifa katika...

Gatundu Kusini: Wahalifu wanaolenga vichwa vya watu kwa vifaa butu na kuwaua

NA MWANGI MUIRURI HALI ya wasiwasi imezidi kutanda katika Kaunti Ndogo ya Gatundu Kusini, kufuatia kukithiri kwa visa vya wahuni kuvamia...