• Nairobi
  • Last Updated April 18th, 2024 5:55 AM

Baadhi ya changamoto za wanafunzi katika mitaa ya mabanda

NA SAMMY KIMATU MKAKATI wa serikali kuhakikisha wanafunzi wote wanaokamilisha elimu ya msingi wanajiunga na sekondari umefeli kwenye...

Koome ahamisha jaji aliyepiga breki Sheria ya Fedha ya 2023

NA SAM KIPLAGAT JAJI Mugure Thande aliyesimamisha utekelezaji wa Sheria ya Fedha 2023, ni kati ya majaji waliohamishwa Jumanne na Jaji...

‘Mapasta’ wahuni wasukumwa jela miaka 151 kwa ubakaji

NA RICHARD MUNGUTI WAHUBIRI wawili wamehukumiwa kifungo cha idadi jumla ya miaka 151 jela kwa kuwadhulumu kimapenzi watoto wa umri...

Mzungu atupwa jela miaka 81 kwa kuwadhulumu kingono wavulana wadogo

NA RICHARD MUNGUTI RAIA wa Ujerumani Thomas Scheller amefungwa jela miaka 81 baada ya kupatikana na hatia ya kuwadhulumu kimapenzi...

Korti yaita maafisa 2 wa polisi kujibu madai ya kukarabati ushahidi

NA BRIAN OCHARO MAHAKAMA ya Mombasa imewataka maafisa wawili wakuu wa polisi waliochunguza kesi dhidi ya Bw Elsek Osman, raia wa Uturuki...

Polisi wapata afueni kwenye kesi ya mauaji

NA PHILIP MUYANGA MAHAKAMA Kuu imezima kwa muda uamuzi wa kuwashtaki maafisa watano wa polisi kwa madai ya kumuua mhudumu wa bodaboda...

Lawrence Munga: Pesa kwangu si hoja, hutumia zaidi ya Sh40, 000 kwa siku kununua pombe

NA MWANGI MUIRURI  MWANASIASA wa Kaunti ya Murang'a Bw Lawrence Munga amejitokeza kutangaza kwamba ni sonko wa ajabu ambaye hata mvinyo...

Mwanamume Murang’a aangamiza watoto wake wawili kwa kuwakatakata kama kisasi cha kuachwa na bibi

NA MWANGI MUIRURI  MWANAMUME kutoka Kaunti ya Murang'a ameenda mafichoni baada ya kuchinja watoto wake wawili wa kiume, wenye umri wa...

Wito wa viongozi wa kidini Kisii Rais Ruto na Odinga wapatane  

NA WYCLIFFE NYABERI BAADHI ya viongozi wa kanisa kutoka Kisii wamezidisha wito wa kutaka Rais William Ruto na kiongozi wa Azimio la...

Lalama utatuzi masuala ya Tsavo unakawia

NA LUCY MKANYIKA SERIKALI ya Kaunti ya Taita Taveta, imelalamikia jinsi utatuzi wa masuala tata kati yake na serikali ya kitaifa kuhusu...

Hakimu atoa onyo kwa walanguzi wa mihadarati na wagema Murang’a

NA MWANGI MUIRURI HAKIMU Mwandamizi Mahakama ya Kenol Bi Sheila Nyagah ametoa onyo kali kwa walanguzi wa mihadarati pamoja na wachuuzi wa...

Makahaba wakongwe na wachanga Thika wazozania bei na wateja

NA MWANGI MUIRURI MZOZO kati ya makundi mawili ya makahaba Thika umetokota, yakisemekana kuzozania bei ya huduma wanazotoa. Mvutano...