• Nairobi
  • Last Updated April 25th, 2024 7:20 AM

Kinaya wakazi majirani wa bomba kuu kukosa maji safi

JURGEN NAMBEKA Na MAUREEN ONGALA KATIKA kijiji cha Lango Baya, Kaunti ya Kilifi, wakazi wanapitia hali ngumu kupata maji safi licha ya...

Vuguvugu lataka mazungumzo ya maridhiano yafanyike kwa nia njema

NA BENSON MATHEKA WANASIASA wanafaa kukumbatia mazungumzo ili kuleta maridhiano alivyopendekeza Rais William Ruto ili uthabiti wa...

Ulevi, magonjwa ya akili yatatiza walimu shuleni – Ripoti ya TSC

NA DAVID MUCHUNGUH RIPOTI ya Tume ya Kuwaajiri Walimu nchini (TSC) imeonyesha kwamba matatizo ya kiakili na pombe ni kati ya changamoto...

Man-U wanaweza kumaliza nne-bora EPL?

Na MASHIRIKA MANCHESTER United waliendeleza rekodi nzuri ya kutopigwa katika mechi 24 ugani Old Trafford msimu huu baada ya kutandika...

Dhihirisheni ujuzi kupanda vyeo, wanawake waambiwa

NA LAWRENCE ONGARO WANAWAKE wamehimizwa kuwa mstari wa mbele kujaza nafasi za uongozi hasa katika kampuni kubwakubwa. Wametajwa kama...

IPOA yachunguza maafisa wa usalama wanaodaiwa kuua raia Nithi na Lamu

ALEX NJERU Na KALUME KAZUNGU MAMLAKA Huru ya Kuangalia Utendakazi wa Polisi (IPOA) imeanzisha uchunguzi kuhusu vifo tata vya watu wawili...

Aliyejenga kijumba ndani ya nyumba kujificha akiona

NA RICHARD MUNGUTI MSEMO kwamba mkono wa sheria ni mrefu ulitimia Aprili 6, 2023 polisi walipogudua pango alimokuwa anajificha mwanamke...

Viongozi wa kanisa, wanasiasa watofautiana kuhusu Mukumu Girls’

NA SHABAN MAKOKHA VIONGOZI wa Kanisa Katoliki Kaunti ya Kakamega wakiongozwa na Askofu Joseph Obanyi, wametofautiana na wanasiasa kuhusu...

Kongamano la siku tatu MKU lanogesha biashara Thika

NA LAWRENCE ONGARO KONGAMANO la siku tatu linalojumuisha vyuo vikuu kadha vya bara Afrika lilifanyika katika Chuo Kikuu cha Mount Kenya...

Yesu wa Tongaren mafichoni akidaiwa kukataa ‘kufia dhambi za Wakenya’

NA SAMMY WAWERU MHUBIRI anayejitambua kama Yesu Wa Tongaren, kutoka Kaunti ya Bungoma Ijumaa amedaiwa kuenda mafichoni kufuatia tishio...

Waliofanya kazi ya IEBC kusubiri zaidi malipo yao ya Sh1.9bn

NA MARY WANGARI WAKENYA waliotoa huduma zao na bidhaa kwa Tume Huru ya Uchaguzi na Mipaka (IEBC) katika uchaguzi mkuu uliopita na...

Wito Kenya Power itumie tariff maalum kwa kampuni za maji

NA ALEX KALAMA WABUNGE katika kaunti ya Kilifi wamepewa changamoto kupeleka mswada bungeni ili kuhakikisha kuwa kampuni ya umeme nchini...