• Nairobi
  • Last Updated April 18th, 2024 9:15 PM

Familia kuzika jeneza bila maiti kutimiza desturi

NA DERICK LUVEGA FAMILIA moja katika Kaunti ya Vihiga, imekasirishwa na uamuzi wa mwili wa jamaa yao aliyefariki akiwa ng’ambo...

Familia 1,000 zapitia hali ngumu zaidi baada ya moto kuteketeza makazi katika mtaa wa mabanda wa Mukuru-Maasai

NA SAMMY KIMATU FAMILIA zaidi ya 1,000 zilikesha nje penye baridi baada ya zaidi ya nyumba 300 kuteketea huku mali inayokadiriwa ni ya...

Hisia mseto polisi sasa wakinyoa wenye rasta

NA MWANGI MUIRURI SHERIA mpya ambayo haijarekodiwa na inayotekelezwa na maafisa wa polisi katika baadhi ya maeneo ya Murang’a Kusini...

Uhaba wa nafasi kulazimu wanafunzi elfu 24 Pwani kusomea bara

NA LEONARD ONYANGO ZAIDI ya wanafunzi 24,000 waliofanya Mtihani wa Darasa la Nane (KCPE) mwaka jana katika kaunti za Pwani watalazimika...

Kijana Joseph Kimungu aamini mwanafunzi anahitaji kutia bidii ili kufaulu masomoni

NA PATRICK KILAVUKA ANASEMA muhula wa tatu kabla kufanya mtihani, alipokea ushauri uliompa msukumo wa kukanbiliana na mtihani kwani...

Ruto akana kumwekea mtego Gachagua

NA VITALIS KIMUTAI RAIS William Ruto jana Jumapili alikanusha madai kuwa anamtega naibu wake Rigathi Gachagua. Alisema hatua ya kumpa...

Polisi wazidisha uchunguzi kuhusu mauaji ya Chiloba

NA BARNABAS BII MAKACHERO kutoka Idara ya Uchunguzi wa Uhalifu (DCI) wamewakamata washukiwa wengine zaidi wanaohusishwa na mauaji ya...

Mwanamume, 50, aliyemwoa mtoto afungwa

NA KENYA NEWS AGENCY MAHAKAMA ya Narok imemsukuma jela maisha mwanamume mwenye umri wa miaka 50 baada ya kukiri kumnajisi na kumwoa...

Polisi 4 rumande kwa jaribio la kuiba Sh2m

NA RICHARD MUNGUTI MAAFISA wanne wa polisi wamezuiliwa rumande siku moja polisi wakamilishe uchunguzi wa jaribio la kumnyang’anya...

Chuo cha kiufundi chajengwa mjini Ruiru

NA LAWRENCE ONGARO WANAFUNZI wanaokamilisha Kidato cha Nne watanufaika wakijiunga na chuo cha mafunzo ya anuwai kinachofahamika kama...

Patrick ‘Jungle’ Wainaina asema ni vyema Kawira Mwangaza apewe muda

NA LAWRENCE ONGARO ALIYEKUWA Mbunge wa Thika Bw Patrick 'Jungle' Wainaina amependekeza wanasiasa wanaowania viti vya ugavana kwa tikiti...

Mbunge wa Thika apata maoni ya wakazi kuhusu NG-CDF

NA LAWRENCE ONGARO MKUTANO wa siku tatu wa wakazi wa Thika kujadili jinsi fedha za Hazina ya Ustawi wa Maeneobunge (NG-CDF)...