• Nairobi
  • Last Updated March 19th, 2024 1:13 PM

Jeremiah Kioni kuendelea kubeba sufuria kichwani

NA WANDERI KAMAU KATIBU Mkuu wa chama cha Jubilee Jeremiah Kioni, amesema hatasitisha kampeni yake ya kuweka sufuria kichwani almaarufu...

Steve Mbogo: Serikali inamcheza Raila kuhusu uenyekiti AUC

NA WANDERI KAMAU MWANASIASA Steve Mbogo amesema kuwa atampa kiongozi wa ODM Raila Odinga Sh10 milioni ikiwa atafanikiwa kuwa mwenyekiti wa...

Refaranda: Wamalwa kupinga miswada ya kubuni vyeo

NA WANDERI KAMAU ALIYEKUWA Waziri wa Ulinzi Eugene Wamalwa, amesema ataongoza kampeni za mrengo wa ‘La’ ikiwa kutakuwa na kura ya...

Siasa zatingika Rais Ruto akipendekeza mgombea mwenza awe mwanamke

NA MWANGI MUIRURI SAUTI ya kiongozi wa nchi katika siasa za Afrika huwa na uzito mwingi na hii ndio sababu wachambuzi wa masuala ya...

Didmus Barasa amtaka Uhuru kumpigia debe Raila uenyekiti AUC

NA OSCAR KAKAI MBUNGE wa Kimilili Didmus Barasa sasa anamtaka Rais Mstaafu Uhuru Kenyatta kuvunja kimya chake na kutangaza wazi ikiwa...

Je, kikao cha 3 cha Limuru kitauunganisha Mlima Kenya?

NA WANDERI KAMAU JE, eneo la Mlima Kenya hatimaye litapata sauti moja ya kisiasa? Hilo ndilo swali ambalo limeibuka, baada ya kubainika...

Chunga sana Raila, Ruto ashauriwa

NA JAMES MURIMI VIONGOZI wa Mlima Kenya wamemtaka Rais William Ruto ajihadhari hata anaposhirikiana na Bw Raila Odinga kisiasa, wakisema...

Ubabe wa kisiasa wa Ford-Kenya na DAP-K watokota Trans Nzoia

NA EVANS JAOLA MAKABILIANO makali ya ubabe wa kisiasa yamezuka baina ya viongozi wa vyama vya Democratic Party of Kenya (DAP-K) na...

Raila akienda AUC Kenya itakosa upinzani wa nguvu – Mbunge

NA OSCAR KAKAI HUKU viongozi wengi kutoka mirengo ya upinzani na serikali ya Kenya Kwanza wakiunga mkono azma ya kiongozi wa Azimio La...

Sina domodomo isipokuwa kazi tu – Wamatangi

NA LAWRENCE ONGARO GAVANA wa Kaunti ya Kiambu Kimani Wamatangi amewasuta mahasimu wake wa kisiasa akisema hana wakati wa...

Raila: Mwindaji anayejua kujitafutia windo chakani

NA WANDERI KAMAU KIONGOZI wa Azimio la Umoja Raila Odinga, ameibukia kuwa mwanasiasa anayejua kujijenga upya na kutorokea baridi ya...

Kalonzo aimarisha mikakati ya kutoshea kwa viatu vya Raila

CHARLES WASONGA Na MOSES NYAMORI JUHUDI za kufufua mrengo wa One Kenya Alliance (OKA) zimeanza kujitokeza kufuatia mkutano ulioitishwa na...