NA SAMMY WAWERU MAGAVANA wateule 45 wanaapishwa leo Alhamisi ili kuchukua rasmi hatamu za uongozi wa kaunti, baada ya kuchaguliwa Agosti...
NA CHARLES WASONGA KATIBU Mkuu wa Jubilee Jeremiah Kioni sasa anadai kuwa maajenti wa mgombea urais wa Azimio la Umoja-One Kenya Raila...
NA CHARLES WASONGA NAIBU Rais Mteule Rigathi Gachagua Jumatano, Agosti 24, 2022, amesema kuwa yeye ndiye atamrithi Rais Uhuru Kenyatta...
NA JOSEPH WANGUI MBUNGE wa Mugirango Kusini Silvanus Osoro na wapigakura watatu, wamewasilisha kesi kortini wakitaka ufafanuzi wa...
NA BENSON MATHEKA HUENDA mgombea urais wa muungano wa Azimio Raila Odinga akajipata kwenye hali tata Mahakama ya Upeo ikiamua uchaguzi...
NA SAMMY WAWERU GAVANA wa Makueni anayeondoka Kivutha Kibwana ametangaza kushirikiana na kambi ya Kenya Kwanza. Tangazo hilo...
NA WANDERI KAMAU JE, ni Azimio ama Kenya Kwanza wenye idadi kubwa ya wabunge katika Bunge la Kitaifa? Kila mrengo unashikilia kuwa ndio...
NA BENSON MATHEKA KIVUMBI kinatarajiwa kuanza katika Mahakama ya Juu kwa siku kumi na nne zijazo mgombea urais wa muungano wa Azimio la...
NA GEORGE ODIWUOR GAVANA mteule wa kaunti ya Homa Bay Gladys Wanga wiki hii ataanza majukumu yake bila huduma kutolewa kwa wakazi. Hii...
Na CHARLES WASONGA MPASUKO katika Tume Huru ya Uchaguzi na Mipaka (IEBC) ni miongoni mwa masuala ambayo yataangaziwa katika kesi ya...
NA CECIL ODONGO HATUA ya Rais Mteule William Ruto kuvutia upande wake wabunge wa kujitegemea na wale wa vyama vilivyo ndani ya muungano...
NA PIUS MAUNDU SHINIKIZO zinaendelea kutolewa kwa Kinara wa Wiper Kalonzo Musyoka ahame muungano wa Azimio la Umoja na ajiunge na mrengo...