• Nairobi
  • Last Updated April 25th, 2024 3:34 PM

Sudan Kusini yasema mwanahabari aliuawa kimakosa akiripoti mapigano

NA MASHIRIKA JUBA, SUDAN KUSINI SUDAN  Kusini imesema uchunguzi wake kuhusu chanzo cha kifo cha mwanahabari Christopher Allen...

Maafisa wanasa magunia 560 ya mbolea ‘feki’ mjini Molo

NA CHARLES WASONGA MAAFISA kutoka vikosi vya usalama wamenasa magunia 560 ya mbolea inayoshukiwa kuwa bandia na iliyotarajiwa kuuziwa...

Wakulima wauziwa manyoya ya mbuzi na changarawe kama mbolea ya kisasa

NA CHARLES WASONGA MAAFISA wa upelelezi katika Kaunti ndogo ya Koibatek iliyoko Kaunti ya Baringo wamearifiwa kuhusu sakata ambapo...

Gavana Mwadime aagiza baa zifunguliwe

NA LUCY MKANYIKA GAVANA Andrew Mwadime ametoa agizo kwa wamiliki wa baa katika Kaunti ya Taita Taveta ambao wamefuata masharti ya Sheria...

Jinsi mhasibu alivyozamisha Sh16m kwa shamba hewa

NA RICHARD MUNGUTI MHASIBU anayeishi ng’ambo alitapeliwa zaidi ya Sh16 milioni kwa kuuziwa shamba hewa jijini Nairobi, hakimu mkuu...

Kalonzo aishambulia serikali kwa kukandamiza uhuru wa vyombo vya habari

NA WYCLIFFE NYABERI KIONGOZI wa Wiper Kalonzo Musyoka ameishambulia serikali kwa kuyabagua magazeti huru kwa kuhepesha matangazo yake ya...

Catherine, mke wa mwanamfalme William augua saratani

NA WANDERI KAMAU MKE wa mwanamfalme William, Catherine wa Wales, amesema kuwa yuko kwenye hatua za mwanzo za matibabu, baada ya uchunguzi...

Majuto ya Mjukuu wa Moi: Collins Kibet sasa atoweka, kesi ya kuhepa malezi ikimuandama

NA JOSEPH OPENDA MJUKUU wa Rais wa Pili wa Kenya marehemu Daniel arap Moi, Collins Kibet, ametoweka, na amekwepa kufika mahakamani kwa...

Mkibebwa mbebeke, Chibule ashauri wakazi wa Kilifi

NA JURGEN NAMBEKA NAIBU Gavana wa Kilifi Florah Chibule amewataka wakazi wa Pwani wanaofaidika na miradi ya kiufadhili kutoka nchi za...

Ruto akaidi Amerika kuhusu marufuku dhidi ya shughuli za WorldCoin

NA EDWIN MUTAI KENYA imekataa shinikizo kutoka kwa serikali ya Amerika kuhusu kuondoa marufuku dhidi ya mradi wa uwekezaji kidijitali...

KRA yaagiza ushuru wa nyumba kutekelezwa kuanzia Machi 19

NA CHARLES WASONGA MAMLAKA ya Kukusanya Ushuru Nchini (KRA) sasa imeagiza kuwa utozaji wa ushuru wa nyumba utekelezwe kuanzia Machi 19,...

Maafisa wakuu wa serikali kuzimwa kutumia Tiktok – Kindiki

NA CHARLES WASONGA SERIKALI haitapiga marufuku matumizi ya mtandao wa kijamii wa TikTok lakini itawazima maafisa wake wakuu ili wasitumie...