• Nairobi
  • Last Updated April 25th, 2024 7:55 PM

Wachuuzi wanne washtakiwa kuuza dawa ‘feki’ ya kuua mende

NA RICHARD MUNGUTI WACHUUZI wanne wameshtakiwa kwa kuuzia wateja dawa ya kuua mende ambayo haijaidhinishwa na serikali. Watson Mwangi...

Mswada wa nyumba: Azimio watishia kurejelea maandamano, kuelekea mahakamani

NA CHARLES WASONGA WABUNGE wa Azimio La Umoja-One Kenya Jumatano alasiri waliondoka bungeni kwa hasira baada ya marekebisho...

Polisi Kenya wanyaka raia wa Ethiopia wakiingizwa TZ kiharamu

NA STANLEY NGOTHO POLISI katika eneo la Loitoktok, Kaunti ndogo ya Kajiado Kusini, waliwazuia wahamiaji 90 wakiwemo watoto kutoka Nairobi...

Kucheleweshwa fidia ndio chanzo cha mikosi katika ujenzi wa barabara – Wazee

NA KALUME KAZUNGU WAZEE kutoka jamii ya walio wachache ya Waboni, Kaunti ya Lamu sasa inadai kucheleweshwa kwa fidia ya vipande vyao vya...

Kemsa yampiga kalamu kaimu mkurugenzi wa ununuzi

STEVE OTIENO Na CHARLES WASONGA MAMLAKA Usambazaji Vifaa vya Matibabu Nchini (Kemsa) imemsimamisha kazi kaimu Mkurugenzi wa Ununuzi...

Mama, meidi wake wanyakwa kwa kukosa taarifa msingi za mtoto wa siku mbili

NA BRIAN OCHARO WANAWAKE wawili wamekamatwa kwa tuhuma za kuhusika na ulanguzi wa watoto baada ya kushindwa kutoa taarifa za msingi kuhusu...

Madiwani Kisii, Laikipia washikana mashati

NA WYCLIFFE NYABERI KIZAAZAA kilishuhudiwa katika mabunge ya kaunti za Kisii na Laikipia mnamo Jumatano madiwani wa kaunti hizo...

TSC yalipa Sh466m kwa walimu-hewa, yasema inajikaza kuzikomboa

NA CHARLES WASONGA IMEFICHUKA kuwa Tume ya Huduma za Walimu (TSC) imelipa Sh466 milioni kama mishahara kwa walimu-hewa ndani ya kipindi...

Matumaini deni la Kenya la Sh11 trilioni litapungua thamani ya shilingi ikianza kupanda

NA WANDERI KAMAU DENI la Kenya liliongezeka kwa Sh1.93 trilioni kufikia Desemba mwaka uliopita, hali ambayo imefikisha deni hilo kuwa...

Ushuru wa Nyumba: Ruto apata ushindi wa kwanza bungeni

NA CHARLES WASONGA RAIS William Ruto mnamo Jumanne alipata ushindi wa kwanza katika juhudi za serikali yake kuendelea kutoza Wakenya...

Wasiwasi wakulima wa nafaka Bondeni wakifikiwa na KRA

NA BARNABAS BII TAHARUKI imegubika wakulima wa nafaka katika eneo la Kaskazini mwa Bonde la Ufa kuhusiana na mpango maalum wa kukusanya...

Mkasa mzito kwa familia kijana akiua mama, nyanya

NA GITONGA MARETE FAMILIA moja kutoka kijiji cha Ngeene, Kaunti ya Meru ilipata mshtuko baada ya kijana wa umri wa miaka 27 kuua mamake na...