• Nairobi
  • Last Updated March 29th, 2024 5:46 PM

Miji inavyoweza kugeuzwa kuwa kitovu cha kilimo

NA SAMMY WAWERU HUKU serikali ya Rais William Ruto ikijikakamua kuangazia uhaba na usalama wa chakula nchini, maeneo ya miji pia...

Obama amwaga jumbe za kumsifia mkewe

NA WANDERI KAMAU MKEWE aliyekuwa Rais wa 44 wa Amerika, Barack Obama, Michelle Obama, alifikisha umri wa miaka 60 tangu kuzaliwa kwake...

Sababu za kilimo cha mboga kuwa ghali

NA SAMMY WAWERU MBOGA ni chaguo la chakula katika maboma mengi Kenya, ambacho kinachangia pakubwa kuangazia uhaba wa lishe na kero ya...

Mfumo wa Hydroponic kupunguza gharama ya chakula cha kuku

NA SAMMY WAWERU  MFUMKO wa bei ya chakula cha mifugo cha madukani ni changamoto kuu kwa wafugaji nchini, ila Joyful Birds Self Help...

Kinda anayekuza mihogo

NA SAMMY WAWERU OPARESHENI kukabiliana na upungufu wa chakula na baa la njaa hasa katika maeneo kame, ni suala linalohitaji ubunifu katika...

‘Hatuna tamaa sana, wanaume wa Kenya ndio mkono gamu’

FRIDAH OKACHI Na WANDERI KAMAU BAADHI ya wanafunzi wa kike katika vyuo vikuu na wanawake wanaotafuta wachumba jijini Nairobi, wanaomba...

Mapenzi yamlemea maskini Mondi akitangaza yuko singo

NA FRIDAH OKACHI YAONEKANA mwanamuziki staa wa Bongo flava Naseeb Abdul Juma almaarufu Diamond Platnumz ana mlima wa kukwea likija...

Mvunja mbavu Erico sasa aingilia ujenzi wa madaraja

NA FRIDAH OKACHI MCHEKESHAJI Eric Omondi almaarufu 'Erico' anaendelea kumiminiwa sifa mtandaoni kwa kujitolea kujenga daraja mojawapo...

Charlene Ruto ateuliwa balozi wa damu baada ya kunyamazia suala la ikiwa Daddy Owen ni wake damu damu

NA WANDERI KAMAU WAZIRI wa Afya Susan Nakhumicha, amemteua bintiye Rais William Ruto, Charlene Ruto, kuwa Balozi wa Damu...

Mjue seneta Joe Nyutu anayemponda Gachagua Mlimani

NA MWANGI MUIRURI SENETA wa Murang’a Joe Nyutu ambaye kwa sasa amegeuka kuwa jenerali wa kikosi cha kumponda Naibu Rais Rigathi...

Mwanafunzi wa sanduku tupu aliyezoa B+ apata mfadhili

NA GEORGE ODIWUOR LEVIS Otieno aligonga vichwa vya habari mwaka 2020 aliporipoti katika Shule ya Upili ya Kanga, kaunti ya Migori...

Wajawazito waambiwa kuna Sh5,000 za bure!

NA MWANGI MUIRURI MBUNGE wa Mathioya Edwin Mugo amezindua mradi wa kumtuza kila mwanamke mjamzito katika eneo lake Sh5,000 kama...