• Nairobi
  • Last Updated April 25th, 2024 3:34 PM

Mama asimulia kortini jinsi jirani yake mwendeshaji bodaboda alimuua bintiye akidai ni shetani

Na JOSEPH OPENDA Katika mpangilio uliodumu miezi sita, Lilian Waswa alimuacha bintiye wa miaka miwili na nusu, Marion Pendo, chini ya...

Avril achanganya mashabiki kwa kumsamehe J Blessing aliyedai alimpiga

NA FRIDAH OKACHI MWANAMUZIKI Avril Nyambura aomba mashabiki wake kumsamehe Produsa Jibril Blessing kwa tuhuma za kumchapa na...

NDIVYO SIVYO: Upatanisho wa kisarufi unavyowatatiza wengi

NA NYARIKI NYARIKI KUTOPATANISHWA vyema kwa tungo kisarufi ni mojawapo ya makosa ambayo hujidhihirisha aghalabu katika lugha ya Kiswahili....

Pasta atoa ushuhuda jinsi alivyoepuka kupata virusi vya Ukimwi licha ya uzinzi

NA FRIDAH OKACHI MCHUNGAJI wa kanisa la Life Church International-Kiambu, Anthony Kahura Mwangi almaarufu 'Pastor T Mwangi' ametoa...

Kwa mara ya kwanza akina mama wa Kibajuni kisiwani Pate wajihusisha na ufugaji wa nyuki

NA KALUME KAZUNGU TANGU JADI, jamii ya Waswahili wa asili ya Kibajuni katika Kaunti ya Lamu haijakuwa ikiwapa kipaumbele wanawake...

‘Tiktoker’ Azziad Nasenya apuuzilia mbali uvumi kwamba ‘kuna mubaba nyuma ya ufanisi wake’

NA FRIDAH OKACHI 'TIKTOKER' maarufu nyumbani na ughaibuni, Azziad Nasenya, amesema alipata kazi katika Wizara ya Michezo kutokana na...

Mama mjamzito avuka mto hatari uliofurika akitafuta hospitali ya kujifungulia

STEPHEN ODUOR MWANAMKE mjamzito katika Kaunti ya Tana River amewaacha wengi vinywa wazi baada ya kuvuka mto hatari akielekea hospitalini...

Wanaharakati: Serikali ya Ruto ilitumia Sh1 bilioni kusafirisha mawaziri kwa helikopta kupanda miti

NA CHARLES WASONGA VUGUVUGU la ‘Operation Linda Jamii’ limekosoa hatua ya serikali kuwatuma mawaziri kuongoza shughuli ya upanzi wa...

Ukivurugikiwa na akili, watoto wako nao pia watavurugika kitabia -Utafiti

Na CECIL ODONGO WATAFITI wamebaini kuwa mwanaume akiwa katika hali nzuri ya afya ya kiakili, mtoto ambaye huzaliwa huwa na tabia nzuri na...

Kenya Power yamulikwa kwa madai ya kuitisha hongo ya Sh200, 000 kurejesha stima

NA SAMMY WAWERU KAMPUNI ya Usambazaji Nguvu za Umeme Nchini, ndiyo Kenya Power kwa mara nyingine imemulikwa kufuatia tetesi baadhi ya...

Gari la nishati ya jua ambalo ukilikumbatia litakupunguzia gharama ya juu ya mafuta  

NA MARGARET KIMATHI KWA mbali unapotazama utadhani ni tuk-tuk. Lakini unapokaribia, ndipo utakapokiri kuwa vijana wa Kenya wamejaaliwa...

Wachuuzi wakaidi Londiani wasiojali usalama wao eneo lililosababisha maafa ya zaidi ya 50 barabara ya Nakuru – Kericho 

NA SAMMY WAWERU MIEZI mitano baada ya taifa kupoteza zaidi ya watu 50 katika ajali mbaya ya barabara eneo la Londiani, Kericho, wachuuzi...