• Nairobi
  • Last Updated April 25th, 2024 10:21 AM

Henry Chakava: Lenzi iliyowaweka soko Ngugi wa Thiong’o, Chinua Achebe katika Fasihi

NA WANDERI KAMAU KIFO cha mchapishaji vitabu Henry Chakava mnamo Ijumaa, kimefunga ukurasa wa mchapishaji wa kipekee, aliyejitosa kwenye sekta hiyo wakati ilikuwa vigumu kwa Waafrika kumiliki mashirika ya uchapishaji. Kulingana na wasomi wa fasihi waliotangamana na Dkt Chakava, wanamtaja kama lenzi iliyowalea waandishi nguli kama Prof Ngugi wa Thiong’o, Meja Mwangi, Chinua Achebe, Cyprian […]

Watanzania walemea Wakenya katika tuzo za Fasihi

NA WANDERI KAMAU WATANZANIA waling’aa kwenye mashindano ya 2023 ya Tuzo ya Fasihi ya Safal-Cornell, kwa kuibuka washindi kwenye vitengo vyote. Kwenye mashindano hayo, yaliyofanyika katika hoteli moja, Ijumaa, jijini Nairobi, hakuna Mkenya hata mmoja aliyeibuka mshindi, licha ya baadhi ya waandishi nchini kuwasilisha kazi zao. Mwandalizi mkuu wa mashindano hayo huwa ni Profesa Mukoma […]

LUGHA NA FASIHI: Tafsiri ya riwaya ‘The Alchemist’

Na CHRIS ADUNGO MWANDISHI Ali Attas ni bingwa wa kutumia ala mbalimbali za fasihi kusawiri taratibu za maisha ya wanajamii kupitia tungo za kusisimua. Aliwahi kutafsiri hadithi mashuhuri Japani, ‘Watoto wa Hiroshima’ (2016) – tafsiri ya insha za kumbukumbu ya maafa ya mabomu ya atomiki yaliyodondoshwa Hiroshima na Nagasaki nchini Japani. Mwaka uliopita wa 2022, […]

FASIHI SIMULIZI: Soma kisa kifuatacho kisha ujibu maswali

HAPO zamani za kale paliishi mtoto katika bustani fulani. Siku moja, alipokuwa akitembea katika bustani hiyo aliona ua lililokuwa liking’aa na kumeremeta. Mtoto huyu alishangaa lilikotoka ua hilo licha ya kuwa hakuna mtu aliyekuwa amelipanda. Aliita watoto wenzake ili aende kuwaonyesha ua hilo.Walipolikaribia, lile ua lilianza kugeuka na kuchukua sura ya binadamu. Walijaribu kulishika ila […]

NGUVU ZA HOJA: Tuhifadhi kiteknolojia utajiri wa fasihi yetu ili tufae vizazi vijavyo

NA PROF CLARA MOMANYI FASIHI ni njia moja ya kuendeleza utamaduni wa jamii ambao pia ni ujumla wa maisha ya jamii hiyo. Kupitia kwa fasihi, jamii huweza kuhifadhi na kuendeleza mila, desturi, miiko, itikadi au hata falsafa yake. Fasihi hutumiwa kutoa mafunzo mema, maarifa na hekima miongoni mwa wanajamii. Fasihi ambayo pia hufunzwa shuleni, inaweza […]

NGUVU ZA HOJA: Dhima ya tafsiri katika kukuza fasihi na kupanua mwonoulimwengu

NA PROF IRIBE MWANGI JUMAMOSI iliyopita niliwasiliana na rafiki ambaye pia ni mwanafunzi wangu wa zamani Hezekiel Gikambi. Aliniarifu kuwa alibahatika sana ‘kuwa miongoni mwa wasomaji wa kwanza wa Mualkemia (riwaya ambayo) ni tafsiri ya Kiswahili ya kitabu cha mwandishi maarufu (kutoka Brazili), Paulo Coelho, The Alchemist.’ Gikambi aliendelea kufafanua kuwa Ali Attas alifanya kazi […]

NGUVU ZA HOJA: Kiswahili ni mhimili mkuu wa kuhifadhi fasihi yetu ya jadi

NA PROF CLARA MOMANYI KISWAHILI ni lugha ya Kiafrika ambayo inaweza kuwa mhimili mkuu wa kuhifadhi fasihi jadi ya jamii zetu. Katika kipindi cha ukoloni na hata baadaye, kulikuwa na ukengeushi mwingi miongoni mwa Waafrika hususan katika kutumia lugha zao asilia. Baadhi yetu tuliathiriwa na mielekeo ya kimagharibi, tukakengeuka kwa kudhani kuwa chochote kilichoasisiwa na […]

FASIHI SIMULIZI: Udhaifu wa mbinu za ukusanyaji data

JUMA lililopita, tuliangazia umuhimu wa mbinu za ukusanyaji data ya Fasihi Simulizi. Leo tutajadili udhaifu wa mbinu zizo hizo kwa manufaa ya mtafiti. MAHOJIANO Udhaifu Ni mbinu inayohitaji muda mrefu kwani mtafiti na mtafitiwa hutumia wakati mwingi kukutana ana kwa ana. Mhojiwa anaweza kutoa habari za uwongo kwa sababu hawajuani.Kikwazo cha mawasiliano iwapo watafitiwa au […]

NGUVU ZA HOJA: Ulimwengu wa Kiswahili waenzi mwandishi mashuhuri wa Fasihi na Isimu Said Ahmed Mohamed

NA PROF IRIBE MWANGI MARA ya kwanza “nilipokutana” na Prof Said Ahmed Mohamed ni wakati mwalimu Alex Ngure alipotuongoza kuchambua mashairi ya diwani Kina cha Maisha aliyoyaandika Said. Niliyapenda mashairi hayo na hadi leo nakumbuka baadhi yayo kikamilifu. Diwani hiyo ilinishajiisha kuupenda ushairi na hatima yake ni diwani niliyoihariri na K.W. Wamalwa, Miali ya Ushairi. […]

UCHAMBUZI WA FASIHI: Jinsi ya kujibu Maswali kuhusu wahusika na ploti

WAHUSIKA ni watu au vitu ambavyo hujenga maudhui ya yale yanayorejelewa katika riwaya ya Chozi la Heri. Sifa za wahusika zinastahili kuandikwa kwa uyakinifu; mwanafunzi asitumie vikanushi kwa mfano, asitumie maneno kama hana utu (ni katili), si mwaminifu (ni mkware). Mtahini akitumia vikanushi kwa sifa za mhusika,basi atafeli. SIFA ZA WAHUSIKA Sifa za mhusika zitajulikana […]

MWALIMU WA WIKI: Mwalimu, mwigizaji na mwandishi fasihi

Na CHRIS ADUNGO MWALIMU bora ni rafiki wa wanafunzi anaowafundisha. Kutokana na urafiki huo, wanafunzi huwa huru kumweleza matatizo yao bila uoga. Mwalimu aliye karibu na wanafunzi wake hutambua kwa urahisi udhaifu wa kila mmoja wao na hujiweka katika nafasi nzuri ya kuwasaidia na kuwaelekeza ipasavyo. Mwanafunzi humwamini sana mwalimu ambaye ana ufahamu mpana wa […]