• Nairobi
  • Last Updated April 18th, 2024 2:55 PM

4 waaga ajali zikiendelea kuongezeka

LUCY MKANYIKA na WINNIE ATIENO WATU wanne walifariki jana na wengine 20 wakajeruhiwa katika ajali tofauti zilizotokea eneo la Voi kwenye...

Simanzi wanafunzi 3, dereva wakifariki ajalini

Na MWANGI MUIRURI WANAFUNZI watatu wa shule ya Upili ya Wasichana ya Chogoria na dereva wa matatu walilokuwa wameabiri kuelekea Nairobi...

TAHARIRI: Dereva, abiria washirikiane kuzuia ajali msimu huu

KITENGO cha UHARIRI MKASA wa basi kuzama na kusababisha vifo vya zaidi ya watu 23 katika mto Enziu ni funzo kwa Wakenya msimu huu wa...

Lori la polisi lagonga nyumba za mtaa wa mabanda

Na STEVE NJUGUNA LORI la polisi Jumamosi lilikosa mwelekeo na kugonga nyumba za watu katika mtaa wa mabanda wa Maina, viungani mwa mji...

Rais aongoza Wakenya kuomboleza seneta aliyefariki kwa ajali

Na Mary Wangari VIONGOZI na wanasiasa mbalimbali wakiongozwa na Rais Uhuru Kenyatta pamoja na naibu wake, Dkt William Ruto jana...

Majonzi 18 wakifa ajalini

Na WAANDISHI WETU WATU 18 walifariki Jumamosi katika ajali za barabarani maeneo mbalimbali nchini, huku idadi ya visa hivyo ikiendelea...

Watatu wafariki lori na matatu zikigongana mjini

Na WACHIRA MWANGI WATU watatu walifariki jana kwenye ajali iliyotokea katika Barabara ya Makupa, Kaunti ya Mombasa. Kamanda wa...

18 wafariki kwenye ajali mbili tofauti Kisumu, Kilifi

CHARLES LWANGA na ALDRIN OCHIENG WATU 18 walifariki Jumatano kwenye ajali mbili tofauti za magari katika kaunti za Kilifi na...

Matatu iliyoua abiria 9 ilikiuka kanuni za kudhibiti Covid-19

JOSEPH OPENDA na HILLARY KIMUYU MATATU iliyohusika katika ajali iliyowaua watu tisa Ijumaa eneo la Gilgil ilikuwa imekiuka masharti ya...

Bwanyenye wa Zimbabwe ashangaza alivyopanga maziko yake kabla ya mauti

MASHIRIKA NA WANGU KANURI BWANYENYE mtajika nchini Zimbabwe Genius Kadungure almaarufu Ginimbi ameshangaza wengi baada ya kuibuka kuwa...

Simanzi vijana watano marafiki wakiangamia ajalini

Na Mwangi Muiruri HALI ya majonzi imetanda katika kijiji cha Kagurumo, Muthithi Kaunti ya Murang’a, baada ya vijana watano marafiki...

ONYANGO: Ajali za barabarani zitaangamiza maelfu ya raia hadi lini?

Na LEONARD ONYANGO KUONGEZEKA kwa ajali za barabarani nchini licha ya kuwepo kwa marufuku ya kusafiri usiku na uuzaji wa pombe, kunafaa...