Tag: ajali
- by adminleo
- August 11th, 2020
Wawili wajeruhiwa baada ya V8 kugonga nguzo za barabarani
Na SAMMY WAWERU WATU wawili Jumanne wamenusurika kifo baada ya gari walimokuwa kupoteza mwelekeo na kugonga chuma katika barabara kuu ya...
- by adminleo
- July 15th, 2020
Mmoja afariki katika ajali Limuru
Na MARY WANGARI MTU mmoja amefariki Jumatano abiria wengine kadhaa wakiuguza majeraha mabaya kufuatia ajali iliyohusisha matatu na lori...
- by adminleo
- June 25th, 2020
Mmoja apata majeraha baada ya kuhusika katika ajali Thika Road
Na SAMMY WAWERU WATU watano walinusurika kifo katika ajali iliyotokea Jumatano jioni katika barabara ya Thika Superhighway. Ajali...
- by adminleo
- June 13th, 2020
Watatu wanusurika baada ya lori kuanguka Thika Superhighway
Na SAMMY WAWERU WATU watatu Jumamosi wamenusurika kifo baada ya lori la kusafirisha kokoto na vifaa vya ujenzi kuanguka eneo la Carwash...
- by adminleo
- May 30th, 2020
Wawili wanusuruka kifo katika ajali Thika Superhighway
Na SAMMY WAWERU WATU wawili Jumamosi wamenusurika kifo baada ya lori walimokuwa kuhusika katika ajali mbaya katika barabara ya Thika...
- by adminleo
- May 28th, 2020
Watatu wafariki, wanane wajeruhiwa kwenye ajali eneo la Kyumbi
Na BENSON MATHEKA WATU watatu wamefariki na wengine wanane kulazwa hospitalini baada ya magari mawili kuhusika kwenye ajali eneo la...
- by adminleo
- May 24th, 2020
Sita wafa katika ajali
Na SAMUEL BAYA WATU sita walifariki Jumamosi katika ajali iliyotokea kwenye barabara kuu ya Nakuru-Kericho. Kulingana na maafisa wa...
- by adminleo
- May 23rd, 2020
Watu 5 waangamia kwenye ajali
NA MWANDISHI WETU Watu watano waliangamia kwenye ajali hapo Jumamosi katika barabara kuu ya Nakuru kuelekea Kericho. Ajali hiyo...
- by adminleo
- May 19th, 2020
YASIKITISHA: Badala ya mwangaza nyaya za stima zasababisha maafa mtaa wa mabanda wa Bangladesh
Na WINNIE ATIENO NYAYA za stima zinaning'inia vibaya katika nyumba za wakazi wa mtaa wa mabanda wa Bangladesh, Mombasa na watoto...
- by adminleo
- March 31st, 2020
KAFYU: Wanne wanusurika kifo
NA SAMMY WAWERU Watu wanne walinusurika kifo Jumatatu jioni baada ya gari walimokuwa kuhusika katika ajali mbaya katika barabara kuu ya...
- by adminleo
- March 25th, 2020
Taahira aponea baada ya ambulansi aliyoendesha kugongana na lori
JEREMIAH KIPLAGAT na STANLEY KIMUGE MGONJWA wa akili Jumanne alijeruhiwa vibaya alipoamua kuendesha ambulansi kutoka Hospitali ya...
- by adminleo
- March 21st, 2020
NMG yamwomboleza mhariri wa The East African
Na AGGREY MUTAMBO KAMPUNI ya Nation Media Group (NMG) kwa mara nyingine inaomboleza kifo cha mwanahabari katika kipindi kisichozidi...