• Nairobi
  • Last Updated March 28th, 2024 11:42 PM

Akilimali: Mfumaji zulia Samuel Ruiru

Na PATRICK KILAVUKA Aliyesema ukuona vyaelea jua vimeundwa hakukosea kwani, mfumaji Samuel Ruiru anaamini sindano ya kufuma, gunia la...

AKILIMALI: Pilipili kali inayoogopwa na wenyeji kwa mwasho wake yamletea noti

Na CHARLES ONGADI PILIPILI nyingi zinatambuliwa kwa mwasho wake. Si kila mtu mwenye uwezo wa kuzitafuna na inabidi utafute maji kwa...

AKILIMALI: Magurudumu yanamvunia hela, ni kutia bidii tu!

Na WINNIE ONYANDO BAADHI ya watu hutupa magurudumu baada ya matumizi ya muda ila kwake Joseph Mwaniki, 33, gurudumu lililotumika bado...

Kijana aunda Sh150,000 kutokana na magurudumu

Na WINNIE ONYANDO BAADHI ya watu huyatupa magurudumu baada ya matumizi ya muda ila kwake Joseph Mwaniki, 33, gurudumu zee ni manufaa...

Binti ajitunza kwa kuosha magari na pikipiki mjini, Nairobi

Na WINNIE ONYANDO AKIWA amevalia nguo nyeupe ya kuyazuia maji yasimmwagikie mwilini, Nancy Wanjiku almaarufu Shiko, 30, anaonekana...

AKILIMALI: Punda ni ofisi yake; anawauza kwa wanaosaka mbinu ya usafiri

Na RICHARD MAOSI TAKWIMU zinaonyesha kuwa punda hutumika kubeba mizigo mizito mashinani, hususan katika maeneo ambayo miundo misingi ya...

AKILIMALI: Unavyoweza kudumisha rutuba ya udongo kwa kutumia maharagwe na mimea ya aina hiyo

Na SAMMY WAWERU WAKULIMA wengi wamekuwa mateka wa fatalaiza zenye kemikali kuimarisha rutuba ya udongo. Wataalamu wa masuala ya...

AKILIMALI: Mwalimu mwenye bidii ya mchwa ashauri vijana kutafuta njia za kujiajiri

Na HAWA ALI SIKU zote kilio cha vijana wengi wanaohitimu elimu ya chuo kikuu nchini kimekuwa ni ukosefu wa ajira. Kwa kuwa ndoto ya...

Vigezo muhimu vya kuzingatia kufanikisha kilimo cha blue berries

Na SAMMY WAWERU UHABA wa matunda ya blue berries nchini unaendelea kushuhudiwa, kutokana na idadi ya chini mno ya wakulima...

Mkuzaji stadi wa matikitimaji Pwani anayetaka vijana wasilaze damu

Na HAWA ALI Joseph Mrisho ni kijana anayependa sana kushughulika na masuala ya kilimo. Baada ya kufuzu katika Chuo Kikuu cha Mt Kenya...

AKILIMALI: Mitishamba matibabu tosha kwa ng’ombe wake

CHARLES WASONGA na CORNELIUS MUTISYA NI jambo la kutia moyo sana kuwaona watu wenye ujuzi mbalimbali wakitumia uvumbuzi wa kipekee...

AKILIMALI: Ndege wa mapambo wanavyompa tonge nono mwalimu huyu

Na PAULINE ONGAJI LICHA ya kuwa amesomea ualimu, Bw Paul Wanjohi, 25, amebobea katika masuala ya ufugaji ndege. Lakini ufugaji wake...