• Nairobi
  • Last Updated April 23rd, 2024 9:40 PM

Gharama ya maisha kero kuu kwa Wakenya-Ripoti

Na WANDERI KAMAU GHARAMA ya juu ya maisha ni miongoni mwa masuala makuu yanayowasumbua sana Wakenya, imeonyesha ripoti mpya iliyotolewa...

UGUMU WA MAISHA KUZIDI OKTOBA

Na PETER MBURU HALI ngumu ya maisha inawasubiri Wakenya siku chache zijazo, wakati serikali, kwa mara nyingine, itakapopandisha ushuru...

Bei: Wakenya waishiwa pumzi

Na WAANDISHI WETU SERIKALI imeshutumiwa na wananchi kwa kuendelea kufanya maisha yao kuwa magumu zaidi kwa ongezeko la kiholela la bei...

Wafanyabiashara walia ushuru ghali wamnyonga raia

BENSON MATHEKA na WINNIE ONYANDO WATENGENEZAJI bidhaa nchini wamelaumu wanasiasa kwa kutochukua hatua za kupunguzia Wakenya mzigo wa...

KENYA IMESOTA!

LEONARD ONYANGO Na BENSON MATHEKA SERIKALI sasa inategemea mikopo kuendesha shughuli zake baada ya kuishiwa na fedha kabla ya kukamilika...

HAKUNA PUMZI

CECIL ODONGO NA CHARLES WASONGA WAKENYA wanakabiliwa na balaa kuu baada ya serikali jana kukosa kushusha bei ya mafuta, na wakati huo...

Wakenya njaa viongozi wakipiga domo

NA MWANDISHI WETU HALI sio hali tena kwa mamilioni ya Wakenya wa kawaida kutokana na usimamizi mbaya wa uchumi chini ya utawala wa...

MAUYA OMAUYA: Usitarajie mabadiliko Kenya mwaka huu

Na MAUYA OMAUYA TABIA moja ya ndege mbuni ambayo imesimuliwa vizazi kwa vizazi, ni kuficha kichwa chake mchangan anapokabiliwa na hatari...

2020: Waliong’aa na kugusa Wakenya kwa njia ya kipekee

Na BENSON MATHEKA INGAWA mwaka huu umekuwa mgumu kwa Wakenya, kuna waliong'ara katika nyanja mbalimbali na kugusa wengi kwa kuonyesha...

Linturi alaumu Rais kwa kupuuza kilio cha Wakenya

Na GITONGA MARETE SENETA wa Meru Mithika Linturi amemlaumu Rais Uhuru Kenyatta kwa kupuuza matatizo ya Wakenya na kushughulika na...

Wakazi wa Nairobi walia Krismasi imekuwa ‘kavu’

Na SAMMY WAWERU Mabustani na majumba ya maduka ya jumla mbalimbali jijini Nairobi na viunga vyake siku ya Krismasi yalikuwa yenye...

Krismasi ya dhiki

Na BENSON MATHEKA WAKENYA wanaadhimisha Krismasi ya mwaka huu kwa dhiki kufuatia hali ngumu ya maisha na masharti makali ya kuzuia...