• Nairobi
  • Last Updated April 20th, 2024 3:03 PM

Maji ya Ziwa Victoria yasababisha kansa, watahadharisha wataalamu

Na LEONARD ONYANGO WATAALAMU sasa wanaonya kuwa watu wanaoishi karibu na Ziwa Victoria wako katika hatari kubwa ya kupatwa na maradhi ya...

Gharama ya juu ya matibabu inavyobagua maskini

NA LEONARD ONYANGO UGONJWA wa corona umejiongeza kwenye orodha ndefu ya maradhi hatari ambayo yamewalazimu Wakenya maskini kutumia mbinu...

Kansa ya lango la uzazi bado changamoto mashambani

NA PAULINE ONGAJI Alipogunduliwa kuwa anaugua kansa ya lango la uzazi, mwanzoni Milka Kavere, 61, mkazi wa kijiji cha Muhudu, Kaunti ya...

Wagonjwa wa kansa wageukia mitishamba

Na BARNABAS BII WAGONJWA wa kansa ambao hawamudu gharama ya matibabu katika hospitali za kibinafsi sasa wanatumia dawa za kienyeji...

SARATANI YA MATITI: ‘Nilidhani ni ugonjwa wa wanawake pekee…’

NA PAULINE ONGAJI Alipogundua kwamba alikuwa anaugua kansa ya matiti mwaka jana, alishtuka sana kwani hakujua kwamba maradhi haya pia...

Jinsi ya kujikinga dhidi ya kansa ya mapafu

NA WANGU KANURI Kulingana na uratibu wa Shirika la Afya Ulimwenguni (WHO) saratani ya mapafu ndiyo inayoongoza kwa wagonjwa milioni 2.9...

Jinsi ya kuzuia saratani ya matiti

NA WANGU KANURI Mwezi wa Oktoba katika kalenda ni mwezi ambao huangazia kwa kina saratani ya matiti. Hospitali nyingi huwarai watu...

Majonzi tena kansa ikimuua mbunge Suleiman Dori

MOHAMED AHMED na FADHILI FREDRICK HUZUNI imetanda eneo la Pwani kufuatia kifo cha mbunge wa Msambweni Suleiman Dori ambaye alizikwa...

DAU LA MAISHA: Japo mdogo atumia taji kupiga vita kansa

Na PAULINE ONGAJI HUKU ulimwengu ukipanga kuadhimisha siku ya uhamasishaji wa maradhi ya Kansa juma lijalo, utafiti wa Wizara ya Afya...

Majonzi kansa kunyakua mtangazaji maarufu

Na Mary Wangari TASNIA ya vyombo vya habari nchini inaomboleza kufuatia kifo cha mtangazaji maarufu wa K24 Bi Anjlee Gadhvi,...

KCPE: Azoa alama 401 licha ya kumuuguza mamaye miaka 4

ERICK MATARA NA RICHARD MAOSI KWA miaka minne Sharon Wangeci mwenye umri wa miaka 13 alilazimika kugawanya muda wake, kusoma na...

Pesa zaidi zitengewe matibabu ya saratani, magavana wasema

NA EVANS KIPKURA MAGAVANA wawili kutoka Kaskazini mwa Bonde la Ufa wameomba serikali kutenga pesa zaidi kugharimia matibabu ya saratani...