• Nairobi
  • Last Updated March 29th, 2024 2:07 PM

Kamati yaonya Knec kuhusu jengo lililokwama

Na SAMWEL OWINO Jengo moja lililochukua miaka 33 bila kukamilika, limetengewa Sh500 milioni zaidi katika bajeti ya mwaka huu, huku...

WANTO WARUI: Huenda wanafunzi wengi wakakosa mitihani ya KNEC

Na WANTO WARUI Baraza la mitihani nchini (KNEC) linapanga kuwapa wanafunzi wa Gredi ya 1-3 na madarasa ya 5-7 majaribio ya kutathmini...

Wanafunzi wa elimu ya msingi waanza mitihani ya majaribio

NA MARY WANGARI WANAFUNZI wa Gredi ya Kwanza hadi Gredi ya Tatu na Darasa la Tano hadi la Saba wameanza mitihani ya majaribio yao ya...

Wazazi waishtaki KNEC kufuta matokeo ya wanafunzi 125

Na RICHARD MUNGUTI WAZAZI wa shule moja ya upili Kaunti ya Garissa wamelishtaki Baraza la Kitaifa la Mitihani (Knec) kwa kufutilia mbali...

Magoha kung’atuka KNEC Machi 2019

Na CHARLES WASONGA MWENYEKITI wa Baraza la Kitaifa la Mitihani (KNEC) Profesa George Magoha Ijumaa alidokeza kuwa kipindi chake kuhudumu...

TAHARIRI: Mawaziri wamulike zaidi maafisa wa KNEC

NA MHARIRI KWA mara nyingine, ushirikiano wa karibu uliopo kati ya Wizara za Elimu na Usalama wa Ndani na Baraza la Mitihani ya Kitaifa...

WAMALWA: KNEC isiwabebeshe wachapa kazi kwa uadilifu mzigo ambao si wao

NA STEPHEN WAMALWA BARAZA la Kitaifa la Mitihani nchini (KNEC) limewahakikishia wanafunzi wa darasa la nane na kidato cha nne kuwa wako...

Walimu wanaitisha wazazi Sh10,000 kuiba KCSE – KNEC

OUMA WANZALA na PETER MBURU BAADHI ya walimu watundu wamekuwa wakiitisha wazazi kulipia hadi Sh10,000 ili wanao waibiwe mtihani wa kitaifa...

KNEC yaonya kuhusu hatari ya wizi wa mitihani kurudi

Na WANDERI KAMAU BARAZA la Kitaifa la Mitihani (KNEC) Jumatano limeonya kuhusu kuchipuka tena kwa mtandao mkubwa wa wizi wa mitihani...

TAHARIRI: Majaribio ya kuiba mitihani yazimwe

Na MHARIRI HABARI za hivi majuzi kwamba mikakati kabambe imewekwa kuiba mtihani wa kitaifa kwa shule za upili(KCSE) zinatamausha mno na...

Wasahihishaji wa KCSE waikejeli KNEC kutowalipa hela za 2017

Na ELIZABETH OJINA WALIMU kutoka kaunti ya Kisumu wametishia kugomea usimamizi na usahihishaji wa mitihani mwaka huu, iwapo hawatalipwa...