• Nairobi
  • Last Updated March 28th, 2024 9:35 PM

Mbunge wa zamani asimulia alivyostawisha mtaa wa kifahari

Na RICHARD MUNGUTI ALIYEKUWA Mbunge wa Tetu James Ndung’u Gethenji Jumatatu alieleza mahakama kuu kwamba alistawisha mtaa wa kifahari...

Kenya kupoteza mabilioni kutoka kwa wanariadha kwa sababu ya corona

Na GEOFFREY ANENE WANARIADHA wa Kenya watapoteza zaidi ya Sh5 bilioni wanayopata mashindanoni kama tuzo za washindi, matangazo ya...

WAWERU: Aibu mabilioni kuporwa huku kukishuhudiwa uhaba mkubwa wa chakula

Na SAMMY WAWERU KWA muda wa miezi miwili iliyopita baadhi ya maeneo nchini hasa yanayoshuhudia kiangazi mara kwa mara yameripotiwa...

Jinsi baadhi ya Wakenya huporwa mabilioni chambo kikiwa ‘ahadi ya utajiri wa kuzalisha pesa’

Na MWANGI MUIRURI AGOSTI 17, 2018, mhudumu wa bodaboda katika Kaunti ya Murang’a, Peter Njogu, alipatana na mwalimu wake wa zamani...

Serikali yajiandaa kukopa mabilioni tena

Na VALENTINE OBARA WAKENYA wataendelea kukabiliwa na ugumu wa kimaisha kwa kipindi kirefu zaidi kutokana na uwezekano wa ushuru na...

UBWANYENYE: Mbinu wanazotumia mabilionea kujizolea utajiri

Na FAUSTINE NGILA UTAJIRI wa dunia unazidi kukua huku ubabe wa ubwanyenye ukishamiri katika uwekezaji kwa sekta mbalimbali za uchumi...

Wizara yataka itengewe Sh20 bilioni kukarabati barabara

Na WALTER MENYA WIZARA ya Barabara na Miundomsingi inataka bunge na Wizara ya Fedha kutenga karibu Sh20 bilioni za dharura ili...

Vijana tumieni vyema Sh200 bilioni za serikali kujinufaisha – Wamalwa

Na BERNARDINE MUTANU WAZIRI wa Ugatuzi na Maeneo Kavu (ASALS) Eugene Wamalwa Alhamisi amewahimiza vijana kutwaa nafasi zilizotolewa na...

Chebukati na Chiloba kuhojiwa na bunge kwa siku nne kuhusu matumizi ovyo ya mabilioni ya pesa

[caption id="attachment_3154" align="aligncenter" width="800"] Mwenyekiti wa Tume Huru ya Uchaguzi na Mipaka (IEBC), Wafula Chebukati akiwa...

Omtatah aokoa mabilioni ya walipa ushuru

Na RICHARD MUNGUTI MAHAKAMA Kuu Jumanne ilimwokoa mlipa ushuru ilipofutilia mbali kandarasi ya Sh17 bilioni zilizokuwa zitozwe vinywaji...

NLC yashindwa kuelezea ziliko Sh2 bilioni

[caption id="attachment_1795" align="aligncenter" width="800"] Mwenyekiti wa Tume ya Kitaifa ya Ardhi Dkt Muhammad Swazuri. Picha/...