• Nairobi
  • Last Updated April 16th, 2024 2:18 PM

Mafuta ghali: Wakenya wakerwa na wabunge kujifanya wanawahurumia

Na BENSON MATHEKA WAKENYA wamekasirishwa na hatua ya wabunge kujifanya wanawahurumia kwa hali ngumu ya maisha inayowakabili kufuatia...

Wakenya kuumia zaidi bei ya mafuta kipanda tena

Na HILLARY KIMUYU WAMILIKI wa magari ya uchukuzi wa umma na ya kibinafsi watagharimika zaidi baada ya Mamlaka ya Kudhibiti Bei ya Kawi...

Bei ya mafuta taa yapanda

NA MARY WANGARI WAKENYA wanakabiliwa na hali ngumu bei ya bidhaa za mafuta ya taa ikitarajiwa kuongezeka kwa karibu mara sita zaidi,...

Bei ya mafuta taa yapungua kwa Sh18

Na Benson Matheka WAKENYA wamepata afueni baada ya bei ya mafuta kushuka kwa kiwango kikubwa. Mamlaka ya kuthibiti kawi nchini jana...

Mafuta yapungua kwa kwa Sh9

Na WANDERI KAMAU WAKENYA watapata afueni kwa mwezi mmoja ujao baada ya Halmashauri ya Kudhibiti Kawi Kenya (ERC) kupunguza bei ya...

Watumizi wa mafuta taa nchini wapungua kwa 75%

Na BERNARDINE MUTANU MATUMIZI ya mafuta taa yamepungua kwa asilimia 75 baada ya serikali kuongeza ushuru kwa bidhaa hiyo kwa Sh18 kwa...

Bei ya mafuta taa yazidi kupanda

Na VALENTINE OBARA WANANCHI wa kipato cha chini wanaotegemea mafuta taa kwa matumizi mbalimbali nyumbani watazidi kuathirika na bei ya...

Watumizi wa mafuta taa mijini sasa wageukia kuni kwa upishi

Na FAUSTINE NGILA WAKAZI wengi mijini ambao awali walikuwa wanatumia mafuta taa kupikia sasa wamegeukia kuni baada ya bei ya bidhaa hiyo...

Ni udhalimu kuongeza bei ya mafuta taa, Wakenya walia

NA PETER MBURU WAKENYA wengi hawajafurahishwa na wazo la Tume ya Kudhibiti Kawi (ERC) nchini kutaka bei ya mafuta taa ipandishwe, na...

Serikali yawazia kuzuia matumizi ya mafuta taa

Na PETER MBURU MAMILIONI ya Wakenya ambao hutegemea mafuta ya taa kwa kupika na kupata mwangaza huenda wakalazimika kutumia mbinu...