• Nairobi
  • Last Updated March 29th, 2024 7:50 AM

Magoha atetea tena masomo ya chini ya miti

Na CHARLES WASONGA WAZIRI wa Elimu George Magoha ametetea wazo lake kwamba walimu wakuu ni sharti wabuni mbinu ya kuwaruhusu wanafunzi...

Corona yakoroga masomo

NA WANDERI KAMAU WANAFUNZI wote wa shule za msingi na upili watalazimika kurudia madarasa mwaka ujao, baada ya serikali kufutilia mbali...

Huenda mzozo wa karo shuleni Makini ukatatuliwa kortini

 NA OUMA WANZALA Mzozo kati ya wazazi na usimamizi wa shule ya msingi ya Makini kuhusiana na karo ya muhula wa pili na masomo ya...

Msiwalazimishe wanafunzi waliofeli kurudia madarasa, walimu waonywa

Na Waweru Wairimu NAIBU Kamishna wa Kaunti ya Isiolo Mohammed Maow amewaonya wakuu wa shule dhidi ya kuwalazimisha wanafunzi kuyarudia...

‘Upekee ni sifa muhimu ya utafiti’

Na LAWRENCE ONGARO WAFANYAKAZI  wa Chuo Kikuu cha Mount Kenya (MKU) wanaojiendeleza na elimu ya juu walishiriki semina ya uchapishaji...

WANDERI: Nafasi ya waliosoma katika jamii i wapi?

Na WANDERI KAMAU  UWEKEZAJI katika elimu ndiyo ulizifanya nchi kama Ugiriki na Roma kustawi sana katika masuala muhimu kama historia,...

Saa rasmi za masomo ni 8.00 asubuhi hadi 3.30 alasiri – Amina Mohamed

NA CHARLES WASONGA SAA za masomo sasa zitaanza saa mbili asubuhi na kukamilika saa tisa na nusu jioni, serikali imeamuru.  WAZIRI wa...