• Nairobi
  • Last Updated April 24th, 2024 8:12 PM

Wamiliki wa matatu wachangamkia kuondolewa kwa kafyu

Na CHARLES WASONGA WAHUDUMU wa matatu wametangaza kuwa watarejelea safari za usiku kuanzia leo Alhamisi baada ya Rais Uhuru Kenyatta...

Matatu zaendelea na huduma licha ya uvumi wa mgomo

Na CHARLES WASONGA LICHA ya uvumi kuenea Jumatano kwamba chama cha wamiliki wa matatu (MOA) kimeitisha mgomo utakaoanza Alhamisi, magari...

Naibu Waziri aishangaa sekta ya matatu kunyima vijana nafasi za kazi

Na MWANGI MUIRURI Naibu Waziri wa Spoti, Utamaduni na Turathi za Kitaifa Bw Zack Kinuthia ameteta kuwa sekta ya magari ya uchukuzi wa...

Serikali yasema itaondoa barabarani matatu zionazokaidi kanuni za corona

Na SAMMY WAWERU SERIKALI imeonya kwamba itaadhibu matatu zinazokiuka sheria na mikakati iliyowekwa kusaidia kuzuia msambao wa virusi vya...

Wamiliki wa matatu Mlima Kenya walia huduma ya reli imemeza riziki yao

Na CHARLES WASONGA CHAMA cha wamiliki wa matatu (MOA) eneo la Mlima Kenya kimeomba kufanya mkutano na maafisa wa Shirika la Reli Nchini...

Nauli yapanda Wakenya wakirejea mijini

NICHOLAS KOMU NA SAMMY KIMATU WAKENYA waliosafiri kwa sherehe za Krismasi wameanza kurejea mijini huku matatu zikiongeza nauli.Katika...

Wakenya wasafiri mashambani licha ya onyo la serikali

Titus Ominde na Benson Matheka VITUO vingi vya mabasi mijini vilishuhudia ongezeko la abiria wanaosafiri maeneo ya mashambani kwa...

Wafanyakazi wa kaunti kula Krismasi kavu

MWANGI MUIRURI, DAVID MUCHUI na GEORGE MUNENE HUENDA wafanyakazi wa kaunti nchini wakasherehekea Sikukuu ya Krisimasi mikono mitupu,...

Mpango wa kuondoa matatu jijini utakamilika hivi karibuni – Badi

Na BENSON MATHEKA MPANGO wa kuondoa magari ya uchukuzi wa umma katikati ya jiji la Nairobi unakaribia kukamilika, Idara ya Huduma za...

ONYANGO: Ajali za barabarani zitaangamiza maelfu ya raia hadi lini?

Na LEONARD ONYANGO KUONGEZEKA kwa ajali za barabarani nchini licha ya kuwepo kwa marufuku ya kusafiri usiku na uuzaji wa pombe, kunafaa...

Maafikiano kati ya Serikali ya Kaunti ya Nakuru na wahudumu wa matatu bado ni ndoto

Na JOSEPH OPENDA HAKUNA ishara zozote za mapatano wala maafikiano kati ya Serikali ya Kaunti ya Nakuru na wahudumu wa magari ya uchukuzi...

Corona yafichua visiki katika sekta ya matatu vina suluhu

Na SAMMY WAWERU Kwa muda mrefu sekta ya uchukuzi hasa matatu imehusishwa na matukio mengi ya kutoridhisha. Ni sekta inayosaidia...