• Nairobi
  • Last Updated April 23rd, 2024 8:55 AM

NJENJE: Pigo kwa wafugaji kuku nchini bei ya mayai ikishuka pakubwa

NA WANDERI KAMAU BEI ya mayai imeshuka kwa asilimia 20 nchini kutokana na ongezeko la uingizaji wake kutoka mataifa ya nje. Hali hiyo pia...

Jinsi ya kuandaa wali wa mayai

Na MARGARET MAINA [email protected] Muda wa kuandaa: Dakika 15 Muda wa mapishi: Dakika 30 Walaji:...

Ninauza mayai ya Sh1.5m kila siku – Ruto

Na CHARLES WASONGA NAIBU Rais William Ruto amefichua kuwa yeye huingiza Sh1.5 milioni kila siku kutokana na mauzo ya mayai 150, 000...

Umuhimu wa madini ya zinki mwilini

Na MARGARET MAINA [email protected] ILI mwili wa mwanadamu uweze kukaa na kunawiri vizuri, ni lazima upate virutubisho...

Kilio cha wafugaji wa kuku Kiambu

Na LAWRENCE ONGARO WAFUGAJI wengi wa kuku Kaunti ya Kiambu wanapata hasara, chanzo kikiwa ni kudorora kwa bei ya mayai. Wafugaji hao...

Wataka mayai kutoka mataifa ya nje yapigwe marufuku Kenya

Na LAWRENCE ONGARO WAFUGAJI wa kuku Kaunti ya Kiambu wanaiomba serikali ipige marufuku mayai yanayoingizwa nchini kutoka nchi za...

Wachuuzi karantini kwa kuuzia wagonjwa wa corona mayai

Na BENSON MATHEKA WACHUUZI wawili wamewekwa karantini kwa siku 14 kwa kuingia katika kituo cha kutenga walioambukizwa virusi vya corona...

AKILIMALI: Wafugaji kuku Kiambu wataka serikali iwapige jeki

Na LAWRENCE ONGARO KIKUNDI cha wafugaji wa kuku wapatao 700 kutoka Thika, Kaunti ya Kiambu, kinaendelea kujizatiti licha ya hali ngumu...

SIHA NA LISHE: Ukitaka protini kula vyakula hivi

Na MARGARET MAINA [email protected] Kazi za protini mwilini • protini ni muhimu katika kujenga mwili • ni muhimu...

AKILIJIBU: Kuku wameanza ghafla kutaga mayai madogo, sababu ni gani?

Na CHRIS ADUNGO SWALI: Jina langu ni JOSEPHAT MUSERA kutoka Chavakali, Vihiga. Nimekuwa mfugaji wa kuku kwa muda mrefu, lakini hivi...

Husubiri hatua ya uanguaji kuhakikisha thamani ya mayai iko juu

Na SAMMY WAWERU MARGARET Njeri Maina amekuwa kwenye ufugaji wa kuku wa kienyeji wa kisasa maarufu kama ‘kuroilers’ kwa muda wa miaka...

UFUGAJI: Masuala muhimu kuzingatia kabla kuanza kufuga kuku

Na SAMMY WAWERU UFUGAJI wa kuku ni miongoni mwa sekta ambapo wengi wameingilia ili kujiinua kimapato. Wanafugwa kwa ajili ya nyama na...