• Nairobi
  • Last Updated April 20th, 2024 3:03 PM

Wanafunzi wengi zaidi kusomea chini ya miti 2021

Na WAANDISHI WETU IDADI kubwa ya wanafunzi watakaorudi shuleni wiki ijayo, watalazimika kusoma chini ya miti baada ya serikali kushindwa...

AKILIMALI: Ukuzaji miche unalipa

Na JOHN NJOROGE [email protected] Unapoingia mji wa Elburgon kupitia barabara mbovu ya Molo- Nakuru unapata aina tofauti ya...

WASONGA: Viongozi waendeshe kampeni ya kupanda miti

Na CHARLES WASONGA WANASIASA Ni watu ambao wamepewa kipawa cha kuteka hisia na kushawishi umma, haswa kuhusu masuala ya kisiasa...

Wanafunzi wahamasishwa kuhusu upandaji miti

NA RICHARD MAOSI Wanafunzi kutoka shule ya wavulana ya Jomo Kenyatta katika eneo la Bahati kaunti ya Nakuru, wamepanda miche 1,000...

Wakazi wa Thika wahimizwa kupanda miti kuhifadhi mazingira

Na LAWRENCE ONGARO KUNA haja ya kupanda miti kila sehemu nchini ili kuhifadhi mazingira ambayo yanaonekana kupoteza mvuto kutokana na...

Ni muhimu kujiandaa kupanda miche ya miti mvua ikibisha hodi

Na SAMMY WAWERU WIZARA ya Mazingira imekuwa katika harakati za kuhamasisha kampeni ya upanzi wa miti ili kuafikia kigezo cha asilimia 10...

Serikali yatakiwa kutaja wanyakuzi wa msitu wa Mau

GEORGE SAYAGIE na PATRICK LANG’AT SERIKALI inaendelea kukabiliwa na shinikizo za kuwafichua na kuwashtaki mabwenyenye walionyakua...

Si miti tu, ukataji nyasi pia ni haramu, serikali yafafanua

Na VALENTINE OBARA SERIKALI imefafanua kuwa marufuku dhidi ya ukataji miti ilijumuisha pia ukataji nyasi misituni na kuonya umma dhidi ya...

Marufuku ya ukataji miti yaongezwa kwa miezi 6

Na BERNARDINE MUTANU Serikali imerefusha marufuku ya ukataji wa miti kwa miezi sita, saa chache kabla ya marufuku iliyotangazwa Februari...

#PandaMitiPendaKenya: Safari ya kupanda miti 1.8 bilioni yang’oa nanga

Na WAANDISHI WETU RAIS Uhuru Kenyatta Jumamosi alizindua kampeni kubwa ya kupanda miti takriban 1.8 bilioni kote nchini katika muda wa...

Wakazi wakwama juu ya miti kufuatia mafuriko

STEPHEN ODUOR na JADSON GICHANA WAKAZI wa eneo la Nanigi, Kaunti ya Tana River, wamekuwa wakiishi mitini na kwa paa za nyumba zao kwa...

Malori yenye magunia 330 ya makaa yanaswa

Na OSCAR KAKAI MAAFISA wa misitu na wa serikali ya kaunti wamenasa malori matatu yakisafirisha magunia 330 ya makaa mjini Kacheliba,...