• Nairobi
  • Last Updated April 18th, 2024 2:55 PM

MWANAMKE MWELEDI: Alipambana kuhakikisha wakulima wadogo wanaheshimiwa

Na PAULINE ONGAJI KIPAJI chake cha uongozi kimejitokeza kupitia ufanisi wa mashirika mengi chini ya usimamizi wake huku mara nyingi kazi...

MWANAMKE MWELEDI: Anathamini na kutambua umuhimu wa sayansi kwa ajili ya kufanya dunia pahala salama

Na PAULINE ONGAJI ALIPOKUWA anakua, Prof Judy Wakhungu alitambua kwamba alipenda sayansi. Mwaka wa 2013 aliteuliwa katika mojawapo ya...

MWANAMKE MWELEDI: Yuko katika mstari wa mbele vita dhidi ya magonjwa yanayoweza kuzuiwa

Na KEYB TOKEA siku za ujana wake akiwa mwalimu wa shule ya upili, hadi kipindi alichohudumu katika shirika la Umoja wa Mataifa, Profesa...

MWANAMKE MWELEDI: Alijitolea kuwapa maskini mikopo nafuu

Na PAULINE ONGAJI Baada ya kudumu katika sekta ya ujenzi wa nyumba, Bi Ingrid Munro, msanifu majengo na mtaalamu wa miundo ya miji...

MWANAMKE MWELEDI: Mtetezi wa haki za Wakenya

Na PAULINE ONGAJI Njeri Kabeberi ni mwanaharakati shupavu anayetetea haki za kijamii huku taaluma yake katika nyanja hii ikizidi miaka...

MWANAMKE MWELEDI: Alenga kudumisha haki, usawa na amani katika jamii

Na KEYB WAHU Kaara ni mwanaharakati wa masuala ya kijamii, mkufunzi katika masuala ya ubinafsishaji na kijinsia. Yeye ni mmoja wa...

MWANAMKE MWELEDI: Mtetezi mahiri wa haki za wanawake

Na KEYB ANAKUMBUKWA kutokana na mchango wake kama msimamizi wa zamani wa chama cha Maendeleo ya Wanawake, shirika ambalo tokea mwanzo...

MWANAMKE MWELEDI: Msomi, mtafiti na mtaalamu katika masuala ya kijamii

Na KEYB KAZI yake inazidi kuwa na mchango mkubwa humu nchini na kimataifa. Jina lake ni Judith Mbula Bahemuka, profesa katika Chuo...

MWANAMKE MWELEDI: Nembo ya uthabiti na ukakamavu katika uanahabari

Na KEYB NI nadra kwa orodha ya wanahabari waliotamba na kuheshimika nchini kuundwa pasipo jina lake kushirikishwa. Jina lake ni Bi...

MWANAMKE MWELEDI: Alikuwa sauti kuu dhidi ya kansa na mtetezi wa jinsia

Na KEYB ALIKUWA sauti kuu katika vita dhidi ya kansa ya matiti, haki za wanawake, demokrasia na mwunganisho wa kitaifa. Ni kazi...

MWANAMKE MWELEDI: Jina lake halikosi sekta ya biashara

Na KEYB YEYE ni Mkurugenzi wa Mpango wa The Stanford Graduate School of Business East Africa’s Seed Transformation...

MWANAMKE MWELEDI: Mwanamitindo anayekabili funza

Na KEYB YEYE ni mmojawapo wa wanamitindo wa humu nchini ambao umaarufu wao umeendelea hata baada ya kustaafu kutoka ulingo wa...