• Nairobi
  • Last Updated April 18th, 2024 3:55 PM

NLC yalalamikia mgao finyu wa fedha inazopokea kutoka kwa serikali

Na SAMMY WAWERU TUME ya Kitaifa ya Ardhi (NLC) imelalamika kwamba inapokea mgao wa chini kabisa wa fedha kutoka kwa serikali, ikisema...

Vyombo vya habari vyahimizwa visaidie NLC kuangazia masuala ya ardhi

Na SAMMY WAWERU TUME ya Kitaifa ya Ardhi (NLC) imevihimiza vyombo vya habari kuisaidia katika uangaziaji wa masuala ya ardhi na mashamba...

Shahidi katika kesi ya ufisadi apatikana ameuawa

Na KITAVI MUTUA AFISA wa cheo cha juu katika Tume ya Kitaifa ya Ardhi (NLC) Jennifer Itumbi Wambua, ambaye jana mwili wake ulipatikana...

Changamoto tele za makamishna wateule NLC

Na MAGDALENE WANJA na OUMA WANZALA TUME ya Kitaifa ya Ardhi ( NLC) bado inakabiliwa na changamoto tele katika hatua yake ya kuwapata...

Rais ateua rasmi mwenyekiti na makamishna wapya wa NLC

Na CHARLES WASONGA RAIS Uhuru Kenyya ameteua rasmi wanachama wapya wa Tume ya Kitaifa ya Ardhi (NLC). Kwa mujibu wa tangazo...

Bi Galgalo aidhinishwa NLC kipindi cha lala salama

Na CHARLES WASONGA HATIMAYE wabunge wameidhinisha uteuzi wa aliyekuwa Mbunge Mwakilishi wa Isiolo Bi Tiya Galgalo kuwa mwanachama wa...

‘Wanaopigwa msasa kuongoza NLC ni wafisadi’

Na CHARLES WASONGA KAMATI ya Bunge kuhusu Ardhi Alhamisi ilianza kuwapiga msasa watu tisa waliopendekezwa kwa nyadhifa za mwenyekiti na...

NLC na KR lawamani kukosa kufidia wakazi Sh5.8b

Na CHARLES WASONGA WAKUU wa Tume ya Kitaifa ya Ardhi (NLC) na Shirika la Reli Nchini (KR) Jumanne walielekezewa lawama na wabunge...

Lawama tele makamishna wa NLC wakiondoka afisini

Na PETER MBURU TUME ya Ardhi Nchini (NLC) iliondoka afisini Jumanne, japo ikiandamwa na lawama nyingi kutoka kila upande za kukosa...

Swazuri ajitapa huduma yake NLC imeleta ‘ufanisi mkubwa’

MOHAMED AHMED na WACHIRA MWANGI MWENYEKITI wa Tume ya Ardhi Nchini (NLC) Muhammad Swazuri amesema kuwa anamaliza awamu yake kwenye tume...

NLC kuwafidia wakazi wa Gatundu Kaskazini kwa ardhi ya ekari 300

Na LAWRENCE ONGARO WAKAZI wa Gatundu Kaskazini wana jambo la kutabasamu baada ya serikali kuanza kuwalipa fidia ya ardhi...

2018: Mwaka wa masaibu tele kwa Prof Swazuri

NA FAUSTINE NGILA MWAKA huu umekuwa na changamoto si haba kwa aliyekuwa mwenyekiti wa Tume ya Ardhi nchini (NLC) Prof Muhammad Swazuri,...