• Nairobi
  • Last Updated March 29th, 2024 12:58 PM

WAKILISHA: Kipaji chao ni kwa ajili yao na jamii pia

Na PAULINE ONGAJI WANAPANIA kuteka tasnia ya densi nchini Kenya; na bila Skysquad Dance Crew, wako mbioni kufikia ndoto hiyo. Tayari...

WAKILISHA: Atumia muziki kunyosha jamii

Na PAULINE ONGAJI ANATUMIA muziki kuangazia masuala yanayoikumba jamii yake na katika harakati hizo kusaidia kupata suluhu. Ni kazi...

WAKILISHA: Apanda farasi wawili kwa ustadi mkuu

Na PAULINE ONGAJI LICHA ya kwamba anasomea sheria, anasisitiza kamwe hatolegeza jitihada zake za kutimiza ndoto ya kuwa...

WAKILISHA: Mfano bora kwa wenzake mtaani

Na PAULINE ONGAJI KATIKA umri mdogo wa miaka 15, yuko mbioni kuhakikisha kwamba anaorodheshwa miongoni mwa marapa wa kike wanaotamba sio...

WAKILISHA: Vichekesho vinamlisha

Na PAULINE ONGAJI VIDEO zake zimekuwa zikisambaa mtandaoni kutokana na jinsi zinavyowavunja mbavu wengi. Licha ya kuwepo kwa katika...

WAKILISHA: Mchezo wa sarakasi wampaisha mtaani

Na PAULINE ONGAJI KATIKA eneo la Muthama, Waithaka mtaani Kawangware, jijini Nairobi, nyota amezaliwa. Naam, nyota wa sarakasi, Stacy...

WAKILISHA: Avalia njuga ‘boy-child’

Na PAULINE ONGAJI DUNIANI kote, vita vya kutetea haki za mtoto msichana vimeshika kasi katika jitihada za kuleta usawa wa...

WAKILISHA: Uvumbuzi wake utaokoa misitu

Na PAULINE ONGAJI UKATAJI miti ni mojawapo ya mambo ambayo yamezidi kuchangia uharibifu wa mazingira. Na katika maeneo mengi ambapo...

WAKILISHA: Uchoraji pato na jukwaa kulea vipaji

Na PAULINE ONGAJI ANAJIUNDIA kipato kupitia uchoraji, suala ambalo limemwezesha kukidhi mahitaji yake huku akiendelea na masomo...

WAKILISHA: ‘Gavana’ mwenye umri mdogo zaidi

Na PAULINE ONGAJI KATIKA umri wa miaka 19 pekee anawakilisha vijana katika Kaunti ya Bomet, wadhifa alioupata mwaka 2018 akiwa na umri wa...

WAKILISHA: Atumia Hip hop kuongoa vijana

Na PAULINE ONGAJI KATIKA enzi ambapo muziki umegeuzwa na kuwa jukwaa la burudani pekee huku wanamuziki wengi wa kisasa wakishutumiwa kwa...

WAKILISHA: Rais wa shule yake anayekuza demokrasia

Na TOBBIE WEKESA IMEKUWEPO mijadala mingi kuhusiana na ukuzaji wa demokrasia humu nchini Kenya na hata bara zima la Afrika. Wachanganuzi...