• Nairobi
  • Last Updated March 29th, 2024 12:58 PM

Onyo kali kwa wanaogeuza karantini kuwa maeneo ya burudani

Na MARY WANGARI WAKENYA walio katika karantini kuhusiana na ugonjwa wa Covid-19, huenda wakalazimika kukaa katika vituo hivyo kwa muda...

Pasta aonya mwanawe asipotoshe vidosho kanisani

Na JOHN MUSYOKI Machakos Mjini KULIZUKA kioja mtaani hapa pasta alipomkemea mwanawe akimlaumu kwa kutaka kupotosha kipusa muumini wa...

Tahadhari Al Shabaab wanapanga shambulio

Na VALENTINE OBARA MAGAIDI wa kundi la Al-Shabaab wanapanga kutekeleza mashambulio nchini hivi karibuni, Idara ya Polisi ilitoa...

Wanaosaka ajira ughaibuni watahadharishwa dhidi ya ugaidi

Na WINNIE OTIENO WAKENYA wanaotafuta kazi ng’ambo wametahadharishwa kuwa makini na kampuni zinazotumia nafasi hiyo kusajili watu...

Onyo kwa wanaouza dawa za hospitali za umma

Na BRIAN OCHARO SERIKALI ya Kaunti ya Taita Taveta imenunua dawa za thamani ya zaidi ya Sh39.5 milioni kuboresha huduma za...

Wamiliki wa shule za kibinafsi waionya Serikali

Na WINNIE ATIENO WAMILIKI na wawekezaji wa shule za kibinafsi nchini wameonya Serikali isithubutu kuwaajiri walimu wanaohudumu katika...

Ruto awapa onyo wabunge wa Jubilee

[caption id="attachment_4211" align="aligncenter" width="800"] Naibu Rais William Ruto. Picha/ Maktaba[/caption] Na VALENTINE OBARA NAIBU...

Wanasiasa wataka Jubilee iwe macho Raila asije akazima ndoto ya Ruto 2022

[caption id="attachment_3518" align="aligncenter" width="800"] GAVANA wa Kiambu Bw Ferdinand Waititu. Picha/ Maktaba[/caption] Na...

Tobiko aanza kazi kwa kuonya wafanyabiashara haramu wakatao miti

[caption id="attachment_1798" align="aligncenter" width="800"] Waziri mpya wa Mazingira na Misitu, Keriako Tobiko. Picha/...