• Nairobi
  • Last Updated April 16th, 2024 12:47 PM

FAUSTINE NGILA: Heko AU kuunda teknolojia ya paspoti za kidijitali

NA FAUSTINE NGILA Je, unafahamu kuwa safari zote za ndege sasa zinawalazimu wasafiri kuwa na paspoti ya corona kando na ile ya kawaida?...

Kampuni za ndege Afrika zakumbatia teknolojia ya paspoti za kidijitali kuokoa biashara

NA RICHARD MAOSI KAMPUNI za ndege za Afrika zimeanza kukumbatia teknolojia ya Umoja wa Afrika (AU) ya kuwapa abiria paspoti za...

Idara ya Uhamiaji yasitisha shughuli za kawaida za utoaji paspoti

Na CHARLES WASONGA IDARA ya Uhamiaji imesitisha, kwa muda, shughuli za utoaji paspoti mpya katika vituo vyake vyote nchini kutokana na...

Krismasi: Huduma za paspoti zasitishwa hadi Ijumaa

Na CHARLES WASONGA IDARA ya Uhamiaji imesitisha shughuli za utoaji paspoti hadi Ijumaa wiki hii. Kulingana na ujumbe ambao idara hiyo...

Serikali sasa yaongeza muda wa raia kupata paspoti mpya

Na MWANDISHI WETU RAIS Uhuru Kenyatta ameagiza muda wa kutoa paspoti mpya ya kielektroniki iongezwe hadi Machi 2020. Idadi kubwa ya...

Matiang’i akutana na jamii za Pokot na Marakwet, azindua eCitizen Nakuru

NA RICHARD MAOSI Waziri wa Usalama wa Ndani Dkt Fred Matiang'i Jumatano aliandaa mkutano wa dharura na jamii ya Wapokot na Marakwet,...

MIGUNA MIGUNA: Ajipiga kifua kisha kukunja mkia na kusalia Canada

Na WYCLIFFE MUIA MWANASIASA na wakili mbishi aliyefurushwa nchini, Dkt Miguna Miguna alikunja mkia kuhusu kurejea Kenya Jumatano licha...

Miguna aapa kurejea nchini hapo Mei 16

Na WYCLIFFE MUIA WAKILI Dkt Miguna Miguna anakusudia kurejea nchini mwezi huu japo haijabainika iwapo serikali ya Kenya imemrudishia...

Canada yaitaka Kenya itoe sababu ya kumfurusha Miguna tena

Na MWANDISHI WETU SERIKALI ya Canada imeitaka Kenya kuwasilisha maelezo kirasmi kwa nini wakili Miguna Miguna alitimuliwa nchini kwa...

Miguna aapa kurudi Kenya kupambana na Jubilee

VALENTINE OBARA na WANDERI KAMAU MWANAHARAKATI aliyefurushwa nchini, Miguna Miguna Jumatatu alirudi Canada na kuapa kurejea Kenya...

‘Miguna atarejea Kenya baada ya matibabu nchini Canada’

Na CHARLES WASONGA WAKILI mtatanishi Miguna Miguna amewasili jijini Toronto, Canada, Jumatatu baada ya kuondoka katika Uwanja wa Ndege wa...

Wakenya sasa kufanya biashara popote Afrika bila vikwazo

Na CECIL ODONGO HATIMAYE Serikali imeidhinisha mkataba wa kibiashara ambao utawezesha Wakenya kufanya biashara katika mataifa mengine ya...