• Nairobi
  • Last Updated March 29th, 2024 6:50 AM

TAHARIRI: Ushuru wa ziada utumike kuokoa raia wa tabaka la chini

NA MHARIRI WIKI jana, serikali ilitangaza mafanikio makubwa katika ukusanyaji wa mapato ambapo ilisema ilizidi malengo yake kwa...

TAHARIRI: Kila mtu ajikinge msimu huu wa baridi

NA MHARIRI MSIMU wa baridi kali uko nasi na Idara ya Utabiri wa Hali ya Hewa inasema utaendelea kwa muda. Huu ni msimu ambao...

TAHARIRI: Vituko vya Nick, serikali vyatamausha Starlets zaidi

NA MHARIRI UFUFUZI wa karakasi kati ya serikali na aliyekuwa rais wa Shirikisho la Soka nchini (KFK), Nick Mwendwa unaamsha machungu...

TAHARIRI: Magavana wajao watii sheria za ugatuzi kuhusu mgao wa pesa

NA MHARIRI RIPOTI ya hivi punde ya Mkaguzi wa Bajeti inaonyesha kaunti 42 zilitumia mabilioni ya pesa kwa mishahara badala ya...

TAHARIRI: Rais Uhuru na Ruto wakomeshe tofauti zao za hadharani

NA MHARIRI KATIKA siku za hivi karibuni kumeibuka majibizano makali kati ya Rais Uhuru Kenyatta na naibu wake William Ruto....

TAHARIRI: Rais hebu sema neno moja tu, bei ya unga ishuke

NA MHARIRI KATIKA siku za hivi karibuni viongozi mbalimbali wakiwemo wa kisiasa na mashirika ya kutetea haki za kibinadamu, wamekuwa...

TAHARIRI: Viongozi wa siasa wawakumbuke raia wanaoteswa na janga la njaa

NA MHARIRI HABARI za Wakenya kuhangaishwa na baa la njaa zinaendelea kuripotiwa kutoka maeneo kadhaa nchini. Mamilioni ya watu...

TAHARIRI: Hatima ya kandanda iko mikononi mwa rais mpya ajaye

NA MHARIRI UTATA zaidi unaendelea kukumba soka ya Kenya kadiri siku zinaposonga. Hapo juzi, viongozi wa matawi ya Shirikisho la Soka...

TAHARIRI: Tuchukue tahadhari kuepusha hatari katika kampeni

NA MHARIRI KAMPENI za uchaguzi zimenoga katika kila pembe ya nchi, zikivutia mamia na maelfu ya watu. Katika hali hii, kila juhudi...

TAHARIRI: Serikali ije na mikakati mipya kubabili utumizi wa mihadarati

NA MHARIRI WIKI jana, walimu katka shule moja ya upili katika Kaunti ya Migori walimnasa mwanafunzi akiwa na misokoto ya bangi...

TAHARIRI: Maelezo kuhusu wawaniaji wote yaanikwe wazi

NA MHARIRI MJADALA kuhusu vyeti vya masomo vya wanasiasa unazidi kuibua hisia mseto baina ya wananchi wakati huu ambapo maandalizi ya...

TAHARIRI: Wagombeaji urais wasifiche masuala mazito

NA MHARIRI MDAHALO mkali ambao unaendelea kushuhudiwa nchini kuhusu manifesto ya mwaniaji urais kwa chama cha kisiasa cha Muungano wa...