• Nairobi
  • Last Updated March 28th, 2024 2:56 PM

Mungatana aapa kupigania haki za kaunti yake

NA KNA SENETA mteule wa Kaunti ya Tana River, Bw Danson Mungatana, amehakikishia wakazi wa sehemu hiyo kuwa atatumia mamlaka yake...

Kaunti yajitetea kuhusu usafiri uliomeza Sh410m

Na STEPHEN ODUOR>> SERIKALI ya Kaunti ya Tana River, imejitetea kuhusu ripoti ya mhasibu wa fedha za taifa iliyoonyesha kuwa...

Wauzaji watoroka ada nyingi za kaunti

Na STEPHEN ODUOR BIASHARA zaidi ya 50 mjini Tana River zimefungwa huku nyingine kadhaa zikielekea kufungwa kutokana na gharama kubwa ya...

MAKALA MAALUM: Mzee Abae ajivunia tajriba ya kutibu nyoka wagonjwa kwa miaka 47

Na STEPHEN ODUOR KWA kawaida, binadamu wengi wanapoona nyoka kinachoibuka haraka akilini ni kumuua mnyama huyo au kutoroka. Lakini...

Magogo ya miti iliyosombwa na maji yalemaza shughuli ya kuwafikia wahasiriwa wa mafuriko Tana River

Na MISHI GONGO SHIRIKA la Msalaba Mwekundi nchini linasema magogo yanatatiza juhudi za kuwafikia wahasiriwa wa mafuriko Kaunti ya Tana...

Gavana motoni kwa kuficha nakala za kuonyesha alivyotumia mabilioni

Na PETER MBURU GAVANA wa Tana River Dhadho Godhana Jumatatu alikuwa na kibarua kigumu kujitetea mbele ya Kamati ya Bunge la Seneti...

Tana River katika njia panda ikikosa wafanyakazi walioelimika

Na STEVE ODUOR USIMAMIZI wa Kaunti ya Tana-River una wingi wa hofu kutokana na uhaba wa wafanyikazi waliohitimu. Serikali hiyo...

TANA RIVER: Kafyu vijijini polisi wakimsaka raia wa Italia aliyetekwa nyara

Na STEPHEN ODUOR ZAIDI ya vijiji vitano katika kaunti ya Tana River vimewekewa vizuizi vikali huku polisi wakiendelea kumtafuta...

KURUNZI YA PWANI: Tana River kujiunga na Jumuiya ya Kaunti za Pwani

Na STEPHEN ODUOR KAUNTI ya Tana River itajiunga na Jumuiya ya Pwani ili kufaidi maendeleo kwa pamoja. Gavana Dhadho Godhana alisema...

TANA RIVER: Masaibu ya mabinti punguani

NA STEPHEN ODUOR NI watu ambao jamii imewaweka kisogoni katika nguzo nyingi za maisha. Kila waonekanapo huepukwa kama ukoma ilhali wao...

KURUNZI YA PWANI: Wanawake wa jamii ya ufugaji wakumbatia elimu ya ngumbaru

Na STEPHEN ODUOR MASOMO ya mtoto wa kike katika familia za wafugaji katika Kaunti ya Tana River hayajatiliwa maanani, na kuchangia kwa...

TANA RIVER: Miundomsingi mibovu ndicho kiini cha wanafunzi kupata ‘D’

NA STEPHEN ODUOR BAADHI ya shule za upili katika kaunti ya Tana River zinakumbwa na uhaba wa miundo misingi, inayodaiwa kuchangia...