• Nairobi
  • Last Updated April 18th, 2024 9:15 PM

FAUSTINE NGILA: Mitandao yabadili sura ya maandamano nchini

NA FAUSTINE NGILA KWA wiki nzima, Wakenya wamepiga kambi katika mitandao ya kijamii ya Twitter na Facebook kuishinikiza Hazina ya...

FAUSTINE NGILA: Heko AU kuunda teknolojia ya paspoti za kidijitali

NA FAUSTINE NGILA Je, unafahamu kuwa safari zote za ndege sasa zinawalazimu wasafiri kuwa na paspoti ya corona kando na ile ya kawaida?...

Corona ilivyoyasukuma makanisa kuchangamkia teknolojia

Na MWANGI MUIRURI Athari za ugonjwa hatari wa Covid-19 zimechangia kusukuma makanisa hadi kukumbatia Tenknolojia za kimawasiliano (IT)...

Kampuni za ndege Afrika zakumbatia teknolojia ya paspoti za kidijitali kuokoa biashara

NA RICHARD MAOSI KAMPUNI za ndege za Afrika zimeanza kukumbatia teknolojia ya Umoja wa Afrika (AU) ya kuwapa abiria paspoti za...

FAUSTINE NGILA: Tuzime video feki zisivuruge uchaguzi 2022

Na FAUSTINE NGILA HUENDA hujaziona lakini katika kipindi cha miezi minne iliyopita nimekumbana na video nyingi feki za kisiasa kuwahusu...

Aunda programu za kompyuta kuifaa mikahawa

Na MAGDALENE WANJA Bw Dennis Omito alizaliwa na kulelewa mjini Nanyuki karibu na kambi za kijeshi ambapo aliweza kuona ndege za...

FAUSTINE NGILA: Tujizoeshe maisha ya dijitali

Na FAUSTINE NGILA NAWASHANGAA baadhi ya walimwengu kulia kuwa wamechoka kufanyia kazi nyumbani, wamechoka kutumia teknolojia; eti sasa...

Taharuki kuhusu teknolojia ya kutambulisha nyuso

NA MARY WANGARI DELHI, India TEKNOLOJIA ya vifaa vya kutambulisha nyuso katika shule kadhaa zinazofadhiliwa na serikali nchini India...

FAUSTINE NGILA: DCI ijitahidi kung’amua mbinu za wizi mitandaoni

Na FAUSTINE NGILA HAPO Jumatatu, Idara ya Upelelezi wa Jinai (DCI) ilichapisha kwenye Facebook kisa cha kustaajabisha kuhusu jinsi...

Wanawake Kenya hulipa maradufu kupata huduma za M-Pesa ikilinganishwa na wanaume – Utafiti

NA FAUSTINE NGILA Wanawake wa Kenya wanalipa mara dufu kuliko wanaume kupata huduma za pesa kwa njia ya simu, hii ni kulingana na data...

FAUSTINE NGILA: Vita vya Iran, Israel visizuie ukuaji wa teknolojia nchini

[caption id="attachment_69777" align="alignleft" width="887"] Balozi wa Iran nchini Jafar Barmaki Iran (kushoto), makamu wa rais wa nchi...

Kenya yasifiwa kutumia teknolojia kuzuia kuenea kwa corona JKIA

NA LEONARD ONYANGO UMOJA wa Afrika (AU) kupitia asasi yake ya kiafya ya Kituo cha Kudhibiti na Kuzuia Magonjwa (Africa CDC) umeipongeza...