• Nairobi
  • Last Updated March 29th, 2024 4:36 PM

KOMBE LA DUNIA FIFA 2022: Mbivu na mbichi kuhusu nani mkali kati ya Messi na Mbappe kujulikana ugani Lusail Iconic

Na MASHIRIKA MBIVU na mbichi kuhusu nani mkali kati ya kigogo Lionel Messi wa Argentina na nyota Kylian Mbappe wa Ufaransa itajulikana...

KOMBE LA DUNIA FIFA 2022: Mabingwa watetezi Ufaransa kuendea ushindi dhidi ya Australia katika Kundi D ili kuepuka mkosi wa mwaka 2002

Na MASHIRIKA LES Bleus wa Ufaransa watashuka uwanjani Al Janoub wakilenga kuzamisha chombo cha Australia katika Kundi D na kuweka hai...

Warembo wa Ufaransa wabandua Uholanzi kwenye Euro 2022

Na MASHIRIKA KOCHA Corine Diacre wa Ufaransa amesema vipusa wake “wana kiu ya kuandikisha historia” baada ya kudengua mabingwa...

Ufaransa wakomoa Afrika Kusini huku Giroud akikaribia kuvunja rekodi ya ufungaji mabao ya Thierry Henry

Na MASHIRIKA UFARANSA waliendeleza ubabe wa kushinda mechi saba mfululizo baada ya kutandika Afrika Kusini 5-0 mnamo Jumanne usiku...

Fahamu vikosi 13 kati ya 32 ambavyo tayari vimefuzu kwa Kombe la Dunia 2022 nchini Qatar

Na MASHIRIKA MWAKA mmoja kabla ya kipenga cha kuashiria mwanzo wa fainali za Kombe la Dunia za 2022 nchini Qatar kupulizwa, baadhi ya...

Ufaransa kukutana na Uhispania kwenye fainali ya UEFA Nations League baada ya kutoka nyuma na kuzamisha chombo cha Ubelgiji

Na MASHIRIKA THEO Hernandez alifunga bao mwishoni mwa kipindi cha pili na kusaidia mabingwa wa dunia Ufaransa kutoka chini kwa magoli 2-0...

Uefa yapinga pendekezo la fainali za Kombe la Dunia kuandaliwa kila baada ya miaka miwili

Na MASHIRIKA RAIS wa Shirikisho la Soka la bara Ulaya (Uefa), Aleksander Ceferin, amepinga pendekezo la kuandaliwa kwa fainali za Kombe...

Uswisi wadengua vigogo Ufaransa na kujikatia tiketi ya kuvaana na Uhispania kwenye robo-fainali za Euro

Na MASHIRIKA KYLIAN Mbappe alipoteza mkwaju muhimu katika mchuano ulioshuhudia Uswisi wakibandua mabingwa wa dunia Ufaransa kwenye hatua...

Ufaransa wakabwa koo na Hungary katika mchuano wa Euro

Na MASHIRIKA NYOTA Antoine Griezmann aliwavunia Ufaransa alama moja na kuwanyima Hungary ushindi muhimu ambao ungekuwa wa kihistoria...

Watford wasajili chipukizi kutoka Ufaransa

Na CHRIS ADUNGO WATFORD wamemsajili kiungo Pape Gueye, 21, kwa mkataba wa miaka mitano kutoka kikosi cha Le Harve kinachoshiriki Ligi ya...

Uhuru kuenda Ufaransa kusaka wawekezaji

Na NYAMBEGA GISESA Baada ya kuhudhuria kongamano la uwezekezaji kati ya Afrika na Uingereza, Rais Uhuru Kenyatta anatarajiwa kurudi...

Moto wateketeza Notre Dame

Na MASHIRIKA PARIS, UFARANSA MOTO mkubwa ulizuka Jumatatu na kuteketeza paa la jumba maarufu la Notre Dame jijini Paris. Wingu la moshi...