• Nairobi
  • Last Updated April 25th, 2024 4:55 PM

Washukiwa wa ufisadi kuzimwa kuingia nchini Uingereza

Na CHARLES WASONGA SERIKALI ya Uingereza inapanga kuwanyima ruhusa ya kuingia nchini humo Wakenya wanaohusishwa na ufisadi, balozi wa...

Zuma aapa kufichua waliomsaidia kumumunya mamilioni ya Afrika Kusini

Na PETER DUBE ALIYEKUWA rais wa Afrika Kusini, Jacob Zuma ameapa kuwa hatazama peke yake kwenye kesi za ufisadi zinazomkabili. Zuma...

Ufisadi ni hatari kuliko Ebola – Wabukala

Na BENSON AMADALA MWENYEKITI wa Tume ya Maadili na Kupambana na Ufisadi (EACC) Askofu Mkuu (mstaafu) Eliud Wabukala amewataka Wakenya...

Asasi za kupambana na ufisadi zatengewa fedha nyingi

Na WANDERI KAMAU SERIKALI Alhamisi ilionyesha juhudi za kuendelea kupigana na ufisadi baada ya kutenga kiasi kikubwa cha fedha kwa asasi...

Ujanja unaotumiwa na wafisadi kufilisisha serikali waanikwa

Na LEONARD ONYANGO MAAFISA wa serikali na wafanyabiashara wenye ushawishi sasa wanatumia raia na kampuni za kigeni kuiba fedha za umma...

UFISADI: Magavana wataka ‘waheshimiwe’ wanapokamatwa

Na JUSTUS OCHIENG MAGAVANA wanataka "wapewe heshima" wakati wanapokamatwa kwa madai ya kuhusika kwenye kashfa za ufisadi. Kufuatia...

Baba Yao alivyotolewa pumzi

BENSON MATHEKA, ERIC WAINAINA na MARY WAMBUI GAVANA wa Kiambu, Ferdinand Waititu Baba Yao, Alhamisi alikamatwa na maafisa wa Tume ya...

Ripoti yafafanua Uhuru hatafaulu kumaliza ufisadi

Na LEONARD ONYANGO AHADI za Rais Uhuru Kenyatta kwa Wakenya kila mara kuwa hatalegeza kamba kwenye vita dhidi ya ufisadi zitabakia kuwa...

UFISADI: Rais asiyeweza kung’ata atisha tena

Na VALENTINE OBARA RAIS Uhuru Kenyatta kwa mara nyingine ametoa vitisho vikali dhidi ya wanaohujumu vita vya kupambana na ufisadi. Ila...

TAHARIRI: EACC na DCI zina meno ya kung’ata wafisadi

NA MHARIRI Wakenya wamechoshwa na wizi wa kila mara wa pesa za umma unaoripotiwa katika magazeti na vyombo vingine vya habari. Ufichuzi...

Si Waititu pekee, bajeti za Ngilu na Oparanya pia zina utata

Na PETER MBURU BAADA ya ripoti kuhusu bajeti tata ya Kaunti ya Kiambu, ripoti sawa zinazidi kujitokeza katika kaunti zingine, nayo afisi...

Raila apongeza kanisa la ACK kwa kukataa pesa za ufisadi

Na Victor Raballa KINARA wa ODM Raila Odinga amepongeza kanisa la ACK kwa msimamo wake dhidi ya kutumiwa vibaya na viongozi wafisadi....