• Nairobi
  • Last Updated April 16th, 2024 2:18 PM

Ustahimilivu umeimarisha ufugaji ng’ombe wa maziwa

NA SAMMY WAWERU LICHA ya wafugaji nchini kuendelea kulemewa na gharama ya juu ya malisho ya mifugo, Samuel Kinyua na babake, Joseph...

Wafugaji sasa walia kupunjwa na serikali

Na STEPHEN ODUOR WAFUGAJI katika Kaunti ya Tana River, wamelalamika wakisema kuna masharti makali yaliyoekwa na serikali katika mpango...

Ufugaji wa nguruwe unavyompa mkulima kipato Mwatate

NA PETER CHANGTOEK MARTIN Msafari, amekuwa akishirikiana na ndugu yake na mama yake katika shughuli ya ufugaji wa nguruwe. Mbali na...

Idadi ya vijana kwenye kilimo na ufugaji ni ya chini mno – tafiti za shirika

Na SAMMY WAWERU IDADI ya vijana wanaofanya shughuli za kilimo nchini ni ya chini mno, limesema shirika lisilo la kiserikali (NGO) kutoka...

UFUGAJI: Ng’ombe wa maziwa sasa ndiyo ajira yake

Na RICHARD MAOSI KATIKA jamii nyingi zinazoendesha kilimo biashara, aina ya kilimo kwa mujibu wa utafiti ni ufugaji wa ng'ombe kwa ajili...

AKILIMALI: Anatumia teknolojia kuwalisha na pia kuwanywesha ng’ombe wake

Na PHYLLIS MUSASIA KAMA wasemavyo wahenga akili ni nywele, basi Benard Kemei wa eneo la Sotik Kaunti ya Bomet, ana zake. Kwa muda wa...

ARI YA UFANISI: Anafaidi wakulima kupitia kituo cha kuwaelimisha mbinu tofauti

Na PETER CHANGTOEK MVUA inayoendelea kunyesha na ambayo imepitiliza kiwango, katu haiwezi kumzuia Gachara Gikungu kuendelea kutoa...

UFUGAJI: Chumvi na madini faafu kwa mifugo ni muhimu kwa uzalishaji maziwa

Na SAMMY WAWERU ALIPOANZA ufugaji wa ng’ombe wa maziwa zaidi ya miaka saba iliyopita, Gitau Kinuthia alikuwa mateka wa chumvi na...

AKILIMALI: Ufugaji kuku njia ya lishe shuleni pamoja na pato

Na PIUS MAUNDU na CHARLES WASONGA KITU kisicho cha kawaida kilihusishwa katika uchaguzi wa viongozi wa baraza la wanafunzi katika Shule...

USHAURI: Ukitaka kunawiri katika ufugaji; hasa wa kuku, tafadhali jiundie lishe

Na SAMMY WAWERU SUALA la chakula cha mifugo nchini kuripotiwa kutofikia ubora wa bidhaa unaotakikana si geni. Chakula 'kikamilifu'...

Ufugaji ajira ya maana baada ya kustaafu, Sh165,000 kila mwezi

Na MWANGI MUIRURI WAKATI Bw Laurence Munyua alistaafu kutoka ajira ya serikali kama mwalimu katika shule za msingi mnamo 1994, hofu yake...

KIU YA UFANISI: Polisi afugaye ng’ombe kwa ajili ya kuwauza

Na PETER CHANGTOEK PETER Mungai ni afisa wa polisi ambaye amewahi kuhudumu katika kitengo cha GSU katika maeneo kama vile Mandera na...