• Nairobi
  • Last Updated April 19th, 2024 2:16 PM

DAISY: Wanawake waridhike na maumbile, wasijiumbue

Na LUCY DAISY WANAWAKE wa kisasa wa kiafrika hasa wasichana walioko katika umri wa miaka 20 hadi 30, wamekataa kujikubali...

Mchuuza maji sasa amiliki chuo cha urembo

Na SAMMY WAWERU Ukiuliza Samuel Karanja matunda, mazao au zawadi ya kutia bidii maishani, atakujibu bila kusita na kukupa motisha...

JOYCE OTIENO: Ielewe biashara ya uanamitindo

Na JOHN KIMWERE WAHENGA waliposema penye nia pana njia hawakudanganya maaana ndivyo ilivyo tangu zama hizo mpaka sasa. Msemo huo...

AKILIMALI: Usanii wa kurembesha mifuko unalipa

NA MARGARET MAINA [email protected] Katika duka la Fundi Nyata kwenye jengo la Prime Plaza mjini Nakuru, Akilimali ilimpata...

AKILIMALI: Jifunze biashara ya kurembesha viatu

NA MARGARET MAINA [email protected] Mwanafunzi mmoja katika Chuo Kikuu cha Unicaf ambaye ni mkazi wa Thika,  alijiuliza...

ULIMBWENDE: Jinsi ya kuondoa madoa meusi

Na MARGARET MAINA [email protected] MADOA meusi (black spots) usoni ni tatizo ambalo linawasumbua wanawake wengi sana na...

ULIMBWENDE: Jinsi ya kuondoa uchafu kwenye ngozi ukitumia scrub ya kahawa

Na MARGARET MAINA [email protected] KUNAKUWA na uchafu kwenye ngozi hata baada ya kuoga. Scrub nzuri ya kuondoa weusi...

ULIMBWENDE: Vitu vya asili vinavyoweza kuondoa utofauti wa rangi unaosababishwa na mionzi ya jua

Na MARGARET MAINA [email protected] TUKIWA kwenye shughuli za kila siku tunaathiriwa na mionzi ya jua. Hali hii imekuwa ni...

BIASHARA YA UREMBO: Vipepeo wanavyovutia watalii Pwani

NA RICHARD MAOSI Mombasa Butterflies House katika eneo la Fort Jesus, Mombasa, ni maarufu barani Afrika kwa utunzaji wa spishi...

Ni vigezo gani vinafaa kutumika kuamua mtu ni mrembo?

Na MWANGI MUIRURI MTAANI, wanaume wengi hukiri kuwa kivutio kikuu huwa ni wasichana “warembo.” Hata hivyo, kwa uchambuzi wa kina,...

BONGO LA BIASHARA: Wengi hawakuelewa kazi yake, lakini hakufa moyo

Na SAMUEL BAYA NI bayana kuwa ubunifu na akili ya kutaka kufanikiwa inapomuingia mtu, kila fursa huiona kama inayomuelekeza katika...

BI TAIFA APRILI 11, 2019

Hildah Milanoi ni mwanafunzi mjini Narok. Akiwa na umri wa miaka 2o, anapenda kutazama filamu na kucheza densi. Picha/Richard Maosi