• Nairobi
  • Last Updated March 29th, 2024 7:50 AM

Wanafunzi 2600 wakataa digrii, wajiunga na taasisi za kiufundi

Na WANDERI KAMAU WANAFUNZI 2,632 ambao walihitimu kujiunga na vyuo vikuu kwenye Mtihani wa Kidato cha Nne (KCSE) mwaka uliopita,...

Ripoti yaanika uozo ulivyokithiri katika vyuo vikuu

Na OUMA WANZALA KASHFA ya matumizi mabaya ya pesa katika Chuo Kikuu cha Maasai iliyofichuliwa majuzi, ilifunua uozo uliokolea katika...

Wanafunzi sasa kujiunga na vyuo vya ualimu kwa alama ya D+

Na OUMA WANZALA SERIKALI imepunguza alama za kujiunga na vyuo vya mafunzo ya walimu kwa wanafunzi kutoka kaunti 17 zilizo nyuma...

Vyuo vyatakiwa kubuni ofisi za kusaidia wanafunzi kuhusu ajira

Na CHARLES WASONGA WAZIRI wa Elimu Amina Mohamed ameamuru vyuo vikuu na vyuo vya kadri kote nchini kuanzisha afisi za kuwashauri...

#EndLecturersStrike: Kero mitandaoni wanachuo wakimsihi Uhuru asuluhishe mgomo

Na PETER MBURU WANAFUNZI wa vyuo vikuu vya umma nchini wametumia mitandao ya kijamii kuonyesha ghadhabu zao, wakinuia kumfikishia Rais...

Wahadhiri waapa kutumia njia zote kuendeleza mgomo wao

Na WANDERI KAMAU WAHADHIRI wa vyuo vikuu vya umma Jumatano waliapa kutumia njia mbadala kuendeleza mgomo wao baada ya maandamano...