• Nairobi
  • Last Updated April 25th, 2024 10:21 AM

Wabunge kusafiri Denmark kunoa bongo kupitisha mswada wa chakula

Na SAMMY WAWERU WABUNGE wanatarajiwa kusafiriwa nchini Denmark mwezi huu wa Novemba ili kupata mafunzo ya usalama wa chakula, kabla...

Wabunge 10 waitwa na NCIC kuhusu fujo

Na SAMMY WAWERU TUME ya Uwiano na Utangamano (NCIC), imekashifu vikali fujo na vurugu zilizozuka wakati wa chaguzi ndogo za Matungu,...

Muturi aziba mwanya ambao wabunge hutumia kutafuna maelfu

Na CHARLES WASONGA SPIKA Justin Muturi ametoa amri kwamba ni wabunge saba pekee wataruhusiwa kusafiri maeneo mbalimbali nchini...

Wabunge Omboko Milemba na Johanna Ng’eno waongoza katika orodha ya utendakazi

Na CHARLES WASONGA MBUNGE wa Emurua Dikirr Johanna Ng’eno ambaye anakabiliwa na kesi ya uchochezi mahakamani ameibuka kuwa wa pili...

Wabunge wazee kufungiwa nje ya vikao

Na SAMWEL OWINO WABUNGE wazee hawataruhusiwa kuhudhuria vikao vya bunge wala mikutano ya kamati wakati bunge litakapofunguliwa...

Wabunge wote wanafaa kujitenga – Murungi

DAVID MUCHUI NA FATUMA BUGU Mbunge wa Imenti Kusini, Kathuri Murungi amewataka wabunge wote kuenda karantini akidai kuwa walijumuika na...

Hofu wabunge 17 wana virusi vya corona

 SAMWEL OWINO na FATUMA BUGU KIKAO maalum cha wabunge kimeahirishwa kwa muda usiojulikana kutokana na hofu kuwa baadhi ya wabunge...

Wabunge walivyoimba nyimbo za kusifu Nyayo bungeni

Na Charles Wasonga WABUNGE mnamo Jumatatu alasiri walivunja sheria za bunge na kuimba nyimbo za kumsifu Rais Mstaafu marehemu Daniel...

2019: Wabunge 13 ambao wamekuwa mabubu bungeni tangu waapishwe

Na CHARLES WASONGA MDAHALO mkali uliibuka mwaka huu kuhusu suala zima la utathmini wa utendakazi wa wabunge na maseneta baada ya kubaini...

Sh100m: Wabunge wa Kenya ndio wengi zaidi duniani kwa kongamano Amerika

LUCAS BARASA na CHARLES WASONGA WAANDALIZI wa kongamano la wabunge nchini Amerika wamefichua orodha ya watu 85 ya ujumbe wa Kenya katika...

ULAFI: Wabunge watisha kuteka nchi wakipigania matumbo yao

Na CHARLES WASONGA WABUNGE na maseneta Alhamisi waliitaka Tume ya Kukadiria Mishahara na Marupurupu (SRC) ikubali waendelee kulipwa...

Ni haki yetu kupewa marupurupu, wasema ‘waheshimiwa’

Na LUCY MKANYIKA KAMATI ya Bajeti katika Bunge la Kitaifa imetetea uamuzi wa Tume ya Huduma za Bunge kuidhinisha marupurupu ya nyumba ya...