• Nairobi
  • Last Updated April 16th, 2024 10:55 AM

Wafungwa wataka haki sawa na raia huru 2022

Na PHILIP MUYANGA WAFUNGWA wanne wameishtaki Tume Huru ya Uchaguzi na Mipaka (IEBC) wakitaka kukubaliwa kupigia kura magavana, maseneta,...

Hofu wafungwa 118 wakiambukizwa corona Bungoma

Na BRIAN OJAMAA HALI ya wasiwasi imezuka katika Gereza la Bungoma baada ya wafungwa 118 kuthibitishwa kuambukizwa virusi vya...

Wafungwa 130 katika gereza la Thika watuzwa vyeti elimu ya Biblia

Na LAWRENCE ONGARO GEREZA limetajwa kama mahali pa kurekebisha tabia na kupalilia matendo mema wala sio mahali pa...

Wafungwa wadai haki ya ngono na mishahara

Na WACHIRA MWANGI Wafungwa katika jela la Shimo la Tewa, Kaunti ya Mombasa wanataka wapewe haki zao za tendo la ndoa na kuongezewa...

Krismasi: Wafungwa wafurahia mapochopocho na vinywaji

Na MAGDALENE WANJA Wafungwa katika gereza la Nakuru GK walipata nafasi ya kusherehekea Krismasi ya mapema hapo Jumapili baada ya...

Vipaji vyachochea KPL kuanzisha ligi kuu ya wafungwa

Na Geoffrey Anene Baada ya kupata kuna talanta ya hali ya juu inayoozea katika majela ya Kenya, kampuni ya KPL, ambayo inaendesha Ligi Kuu...

Wafungwa wasusia chakula siku ya pili wakidai kuteswa

Na STELLA CHERONO MGOMO wa wafungwa wa gereza la Industrial Area, Nairobi uliingia siku yake ya pili jana ambapo wamekuwa wakisusia...

Serikali yalemewa na gharama ya kutunza wafungwa, wale wa makosa madogo kuachiliwa

Na JOSEPH WANGUI WAFUNGWA wa makosa madogo wanatarajiwa kuanza kuachiliwa huru huku serikali ikijizatiti kupunguza gharama ya kuwatunza...