• Nairobi
  • Last Updated March 29th, 2024 9:50 AM

STEVE ITELA: Ni jukumu letu sote kuwalinda wanyamapori tunapotumia barabara zetu

Na STEVE ITELA MIUNDO msingi ya Uchukuzi kama vile reli, barabara na nguzo za kupitisha stima huchangia ustawi wa kiuchumi wa taifa na...

Mwandishi wa Pakistan achapisha kitabu kuhusu Mkenya mpenda wanyama

 Na MAGDALENE WANJA Mwandishi wa vitabu vya watoto kutoka nchi ya Pakistan Bi Nusser Satyeed amechapisha kitabu kinachosimulia hadithi...

Uchangamfu KWS kutangaza mbuga kwa picha ya vifaru wakijamiiana

Na PETER MBURU SHIRIKA la Huduma kwa Wanyamapori (KWS) limewachangamsha Wakenya kwenye mitandao ya kijamii, baada ya kuchapisha picha ya...

Chui mweusi adimu apatikana Kenya

MASHIRIKA na CHARLES WASONGA IMEBAINIKA kuwa chui mweusi adimu kupatikana angalipo duniani. Wataalamu wametoa video ya mnyama huyo...

Ndovu 396 waliangamia 2018 – KWS

Na PETER MBURU JUMLA ya ndovu 396 waliaga dunia kutokana na sababu tofauti mwaka huu, ikilinganishwa na vifo 727 vya wanyama hao ambavyo...

Wito mataifa yote yafunge biashara ya bidhaa za wanyamapori

PSCU na LEONARD ONYANGO MKEWE Rais, Bi Margaret Kenyatta amehimiza jamii ya kimataifa kushinikiza kufungwa kwa masoko ya pembe za ndovu,...