• Nairobi
  • Last Updated April 18th, 2024 9:15 PM

JUMA NAMLOLA: Tulitelekeza watoto wetu kwa muda mrefu, sasa tunavuna matunda ya kutojali

Na JUMA NAMLOLA KINARA wa chama cha ODM, Raila Odinga kwenye kampeni zake miaka iliyopita, alikuwa akisisimua umati kwa hekaya na...

Serikali yawataka wazazi walinde watoto dhidi ya dhuluma na habari potovu mitandaoni

Na WINNIE ONYANDO SERIKALI inawataka wazazi kuwajibika na kuwalinda watoto wao dhidi ya habari potovu na dhuluma mtandaoni. Waziri wa...

DCI yachunguza kisa cha watoto kufungwa

Na STEVE NJUGUNA IDARA ya Upelelezi Nchini (DCI) imeanzisha uchunguzi kuhusu kisa ambapo walimu wawili waliwafunga wanafunzi watatu wa...

WINNIE ONYANDO: Wazazi watafute muda kuwajenga watoto wao kifikra na kimaadili

Na WINNIE ONYANDO Kutafuta pesa si mbaya ila ujenzi wa ukuruba na ukaribu na mwanao ni wa maana zaidi. Uwepo wako kama mzazi katika...

WANTO WARUI: Likizo ya majuma 18 kwa wanafunzi wa gredi ya 4 haifai

NA WANTO WARUI HUKU wanafunzi wakijaribu kung’ang’ana ili warejelee hali ya kawaida ya masomo baada ya kuvurugwa na kuwepo kwa...

Mungu ni mkuu, asema mkurugenzi baada ya kuondolewa mashtaka ya wizi wa watoto

Na RICHARD MUNGUTI NAIBU wa Mkurugenzi wa huduma za afya katika shirika la utoaji huduma kaunti ya Nairobi (NMS) Dkt Musa Mohammed...

WANDERI KAMAU: Jamii imefeli ila ijikakamue kuelekeza watoto kimaadili

Na WANDERI KAMAU KATIKA jamii, msingi wa kizazi cha baadaye huanza kuwekwa mara tu watoto wanapozaliwa. Msingi huo unaweza kuwa mbaya...

Sababu za kudhibiti filamu wanazotazama watoto

Na SAMMY WAWERU Ni jambo la kuhuzunisha familia kupoteza watu watano kwa wakati mmoja, kupitia kitendo cha ukatili. Juma lililopita,...

Ni muhimu watoto kuruhusiwa kushiriki michezo

Na MISHI GONGO MICHEZO ni kiungo muhimu katika ukuaji na uimarikaji wa mtoto katika nyanja mbalimbali. Michezo huchangia katika...

WATOTO: Ujasiri wa kuwa mwanamitindo kuanzia umri mdogo

Na PHYLLIS MUSASIA Clara Mereso ni mwanafunzi wa Darasa la Kwanza katika shule ya Melvin Jones Lions Academy mjini Nakuru. Msichana...

Watoto wa kurandaranda waokolewa

Na WINNIE ATIENO ZAIDI ya watoto 1,400 wa kurandaranda humu nchini walikusanywa, kurekebishwa tabia na kujumuishwa na familia zao tangu...

Wazazi washauriwa wasiwe wakifarakana mbele ya watoto wao

Na MISHI GONGO MAAFISA katika idara za watoto mjini Mombasa wamewataka wazazi kutogombana mbele ya watoto wao, wakisema hali hii...