• Nairobi
  • Last Updated March 29th, 2024 12:58 PM

Penalti ya Sadio Mane yasaidia Senegal kuzamisha Zimbabwe katika mechi ya Kundi B kwenye AFCON

Na MASHIRIKA PENALTI ya sekunde za mwisho wa kipindi cha pili kutoka kwa fowadi Sadio Mane wa Liverpool iliwezesha Senegal kukomoa...

Wapinzani waenda mafichoni wakihofia kunaswa na serikali

Na MASHIRIKA HARARE, Zimbabwe WAFUASI kadha wa upinzani nchini Zimbabwe wameenda mafichoni baada ya wenzao kukamatwa kwa kushiriki...

Zimbabwe yarejesha kafyu

Na MASHIRIKA ZIMBABWE imetangaza upya kafyu na masharti makali zaidi kudhibiti maambukizi ya virusi vya corona, baada ya visa vya...

Waikosoa serikali ya Zimbabwe kwa kuzima ‘maandamano ya haki’

Na MASHIRIKA POLISI nchini Zimbabwe wamepiga marufuku maandamano ya kupinga serikali yaliyokuwa yamepangwa kufanyika jijini hapa huku...

Watu milioni 2 hatarini kufa njaa Zimbabwe

Na MASHIRIKA ZAIDI ya watu milioni mbili nchini Zimbabwe wanakabiliwa na baa la njaa kutokana na kiangazi kilichoathiri mimea ya chakula...

Zimbabwe kutimua wafanyakazi 3,000 kuokoa uchumi

CHARLES WASONGA na MASHIRIKA SERIKALI ya Zimbabwe imeanza mchakato wa kuwafuta kazi wafanyakazi 3,000 kutoka wizara yake ya vijana, huku...

Mshauri wa Raila, Silas Jakakimba asakwa Zimbabwe kwa ‘kuchochea ghasia’

VALENTINE OBARA na BARACK ODUOR POLISI wa Zimbabwe wanamtafuta msaidizi wa Kiongozi wa Chama cha ODM Raila Odinga, kwa madai kuwa...

Zanu PF yashinda viti vingi bungeni huku fujo zikianza

Na AFP CHAMA tawala cha Zimbabwe, ZANU-PF, kilishinda viti vingi zaidi vya ubunge, matokeo rasmi yalionyesha Jumatano.  Kura za...

Wanafunzi nchini Zimbabwe waweka rekodi mpya ya Guinness

Na CHRIS ADUNGO KUNDI la wanagenzi nchini Zimbabwe sasa limeweka historia kwa kuhakikisha limeingia katika orodha ya Rekodi za Dunia za...

Rais Mnangagwa alazwa hospitalini Afrika Kusini

Na MASHIRIKA RAIS wa Zimbabwe Emmerson Mnangagwa amelazwa hospitalini kwa “ukaguzi wa kiafya” nchini Afrika Kusini. Gazeti moja...

Zimbabwe ya pili Afrika kuhalalisha bangi

Na MASHIRIKA SERIKALI ya Zimbabwe imekuwa nchi ya pili barani Afrika kuhalalisha ukuzaji na matumizi ya bangi. Gazeti la Herald,...

Shujaa watawazwa washindi wa Victoria Falls Sevens Zimbabwe

Na GEOFFREY ANENE SHUJAA ya Kenya imeibuka mshindi wa makala ya pili ya raga za wachezaji saba kila upande za Victoria Falls Sevens...