• Nairobi
  • Last Updated April 25th, 2024 5:29 PM

Zogo mke kuvukishwa mto na ‘ex’

Na Leah Makena GACIONGO, THARAKA NITHI Sinema ya bure ilishuhudiwa eneo hili mume alipompapura mke wake kwa kuvukishwa mto na mpenzi...

Mzee wa kanisa mpenda uroda afichuliwa

Na CORNELIUS MUTISYA KAVIANI, MACHAKOS MZEE mmoja wa kanisa eneo hili alipata aibu ya mwaka alipoandikia demu mmoja wa kanisa hilo...

Warudi na mahari kwa kukosa ugali

Na TOBBIE WEKESA KOYONZO, VIHIGA KIOJA kilizuka kijijini hapa baada ya wazee kuamua kurudi nyumbani na mahari waliyokuwa wameleta,...

Nusura aachwe na gari akila uroda

Na NICHOLAS CHERUIYOT SOTIK, BOMET JOMBI aliyezuru mji huu kuhudhuria harusi nusura aachwe na basi kwa sababu alikuwa bado akishiriki...

Polo aandaa hafla ya kumtema mkewe

Na TOBBIE WEKESA WEBUYE MJINI KALAMENI mmoja kutoka hapa alishangaza watu alipoandaa hafla ya kuachana na mkewe. Inasemekana polo...

Atwanga mke mwenza kwa kudunisha mume

Na TOBBIE WEKESA CHEBUKWABI, KIMILILI Wenyeji wa kijiji hiki walibahatika kutazama sinema ya bure, kipusa alipomtwanga mke mwenza...

Demu mlevi atimua wazazi

Na JOHN MUSYOKI MBITINI, MACHAKOS KIZAAZAA kilizuka mtaani demu alipowatimua wazazi wake, walipomtembelea nyumbani na kumpata amelewa...

Demu aliyekataa kupika afurushwa

Na TOBBIE WEKESA KITALE MJINI Kizaazaa kilizuka katika ploti moja mtaani humu baada polo kumfurusha kidosho mpenzi wake alipokataa...

Mama, mkaza mwana wapiga dume

Na TOBBIE WEKESA MBUSYANI, KITUI WENYEJI wa eneo hili walipigwa na butwaa mama mkwe aliposhirikiana na binti yake kumuadhibu...

Demu mpenda chupa apoteza penzi

Na NICHOLAS CHERUIYOT NYAGACHO, KERICHO POLO wa mtaa huu aliaibika sana aliporudi nyumbani kutoka kibarua cha mjengo na kupata habari...

Ahamia kwao kuhepa mke msumbufu

Na TOBBIE WEKESA SANGO, BUNGOMA MLOFA mlevi aliyechoshwa na visirani vya mkewe, aliamua kuhamia kwa nyumba ya mamake, akilalamika...

Kalameni mjeuri akunja mkia

NA NICHOLAS CHERUIYOT SOSIT, KERICHO Kalameni wa hapa, alimchemkia mke wa rafiki yake akimlaumu kwa kutaka kumtenganisha na...