22/05/2018

#NaniKamaMama: Shiriki shindano la kumshindia mama Sh8,000

Huku Siku ya Akina Mama ulimwenguni ikizidi kukaribia, gazeti la Taifa Leo imepanga kuwatuza akina mama kwa siku tatu kuanzia Alhamisi.

Maagizo ni kama ifuatavyo:

 

Alhamisi

Mama zetu wanatuelimisha na kutuhamasisha kila siku. Kuanzia Alhamisi hii, Taifa Leo inakupa nafasi ya kumtuza mama yeyote ambaye anastahili kuzawadiwa kwa ubora wake kwa  vocha ya ‘Spa’ itakayogharimu Sh 8,000. Mteue mwanao (kama yeye ni mama), dada yako, rafiki yako au mke wako na utuambie katika Kiswahili sanifu jinsi wamekusaidia maishani.

Tutabadili uteuzi wako kuwa kadi huku kadi ambayo itakuwa na maoni mengi, ‘likes’ au’ ‘shares’ itashinda. Waulize jamaa na marafiki wakusaidie kwani kila ‘like’ au ‘share’ itahesabika kama kura. Washindi watatangazwa Siku ya akina Mama Duniani.

Ijumaa:

Nyanya zetu ni watu ambao wana uvumilivu, upendo na ujuzi katika familia. Lakini nyakati zinginie tunasahau kuwa hao bado ni mama kwa wazazi wetu na wazazi wetu ni watoto wao.

Tusherehekee nyanya zetu kwenye Siku ya akina Mama kwa kusema katika Kiswahili mufti ni kitu kipi chenye ujuzi  wamewahi kukuambia.

Tutachukua msemo huo na kutengeneza kadi kwa kila ujumbe na kuiweka katika mitandao yetu ili uweze kuipakua na kutuma kwa uwapendao.

Kadi iliyo na maoni mengi, likes au shares itashinda. Mshindi atatangazwa Siku ya akina Mama Duniani.

Jumamosi:

Mteue mama yako aliyekuzaa kwa nafasi ya kushinda vyombo vya upishi vinavyogharimu Sh10,000 kwa kutuambia ni kwa nini yeye ni mtu ambaye unayemdhamini zaidi.

Tumia Kiswahili sanifu na tutabadilisha uteuzi wako kuwa usemi ambao unaweza ukatuma kwake.

Usemi ambao una maoni mengi, likes ama shares utashinda. Washindi watatangazwa Siku ya akina Mama Duniani. Waulize jamaa na marafiki wakusaidie kumpigia debe mama yako.

 

Habari zinazohusiana na hii

Comments

 • Winny

  05/13/2018

  Nashukuru kuwa na mzazi aliyenilea ambaye Ni mama.mama amenilea kwa shida na taabu ingali Dunia.Nakusherehekea mama Na Mungu akulinde Pema peponi

  Replay
  • Winny

   05/13/2018

   Ningependa kumshukuru mama kwa kunibeba tumboni kwake miezi Tisa,akanilea ingali Na shida na taabu nyingi Sana.Mama ukiwa bingunk ningependa kusherehekea siku ingali uliniacha nikiwa mchanga.Nakupenda mamangu mzazi kwa kunipea Na nasherehekea siku yako Leo ukiwa binguni

   Replay
 • Mary mwelu

  05/12/2018

  Hakuna aliye kama mama .mama alinibeba miezi Tisa tumboni,akaninyonyesha mpaka nikaitimu umri wa kunyonya,akanilea mpaka umri wa Utu uzima.nakushukuru sana mama .naomba mungu akupe baraka chungu zima.

  Replay
 • Leah Wanjiku Njoroge

  05/12/2018

  Nani Kama MAMA. Asante mama yangu Alice Wangui kwa kunisha God bless you mum

  Replay
 • Lucy mueni

  05/12/2018

  Kwanza namshukuru sana mama mzazi franciscar kunibeba tumboni mwake, akavumilia uchungu wote hadi akajifungua, akanilea Kwa maadili mema nkapata masomo shule ya msingi na ya upili. Kwanza nakumbuka nikiwa darasa lá tano baba alituacha na kuhepa majukumu Yake kama mzazi na akaenda zake, mama aliamka asubuhi ilivyokuwa desturi yake nã kwenda kutafuta kibarua na alipokuwa anarejea nyumbani Kwa bahati mbaya akiendesha baiskeli sababu ilikuwa usiku sana na kulikuwa na giza aliweza tereza na kuanguka Chini ambapo alidungwa na chuma ya baiskeli Kwa mguu na Kwa maumivu yote aliendelea na safari na kufika nyumbani, alituandalia chajio na kulala na akutuambia chochote ila ,tulikuja jua asubui ,nilipoenda chumbani mwake nakumpata akitokwa na machozi na angeweza kutembea nilienda nkamuelezea nyanya na aliweza kupelekwa hospitali, hadi Leo nikikumbuka hilo tukio linaniumiza moyo sana na unifanya nisimsahau kamwe mama, ni yeye tu na hakuna aliye kama mama, nampenda sana

  Replay
 • BRIAN OGANYO

  05/12/2018

  Mama ni Mama’ hakuna mtu mwenye huruma karma ‘ mama ‘happy mothers day

  Replay
 • valarie jeruto

  05/12/2018

  i love my mother for carrying me on her womb 9 months and undergo all the pain during birth mum your are everything my second God

  Replay
 • maureen masista

  05/11/2018

  Hkn km mama humu duniani kakubeba mwezi Tisa ka kulea miaka minne ka kupeleka shule yy ndiye wakujua utakavyo vaa ,kula,kunywa km ww n mgonjwa shda zote n mama hutubebea I salute you mum

  Replay
 • Phylis ngugi

  05/11/2018

  Welldone

  Replay
  • Phylis ngugi

   05/11/2018

   A mother can replace every thing but nothing can replace amother nani kama mama

   Replay
 • damaris

  05/11/2018

  akuna aliye kama mama anaye beba uja izito miezi tisa na kuzaa pia kumlea mtoto

  Replay
 • Joseph kuria

  05/11/2018

  Mamangu mzazi amenilea vyema tangu nikiwa mtoto mchanga,malezi ya kutosha ,kunipeleka shuleni,kunitunza vyema nikiwa mgonjwa,mavazi mazuri.Ndipo nasema nani ka mama.

  Replay

Leave a Reply