MTOTO MZURI, Alhamisi, Mei 23, 2024

Brandleen Rose Wandey ndiye mgeni wetu leo.Bi Rose ni mkazi wa Nairobi na amebobea katika maswala ya Jiographia na Jamii.Uraibu wake ni kuimba,, kuchora, kusakata densi na kupaka rangi.
PICHA/RICHARD MAOSI