• Nairobi
  • Last Updated March 28th, 2024 12:48 PM

Papa Francis aanza ziara yake rasmi Afrika

Na MASHIRIKA KINSHASA, DRC PAPA Francis ameanza rasmi ziara yake ya siku sita katika nchi za Afrika. Kiongozi huyo wa Kanisa la Katoliki...

Idadi ya waliokufa kwa bomu yafika 95

NA XINHUA ISLAMABAD, PAKISTAN IDADI ya watu waliofariki kwenye shambulio la kigaidi lililotekelezwa na mshambuliaji wa kujitoa mhanga...

Biden akataa kutuma ndege za kivita nchini Ukraine

NA XINHUA WASHINGTON, AMERIKA RAIS wa Amerika, Joe Biden, amekataa kuidhinisha kutumwa kwa ndege za kivita za F-16 nchini...

Waisraeli sasa kupewa bunduki ili wajilinde

NA MASHARIKI JERUSALEM, ISRAELI WAZIRI Mkuu wa Israeli Benjamin Netanyahu ametangaza mpango wa kurahisisha taratibu za Waisraeli kumiliki...

Kiongozi wa IS auawa nchini Somalia

NA AFP WASHINGTON, Amerika KIONGOZI wa kundi la kigaidi la Islamic State (IS), Bilal al-Sudani, ameuawa katika shambulio...

Joto la kisiasa lapanda Tanzania Lissu akirejea

NA MASHIRIKA DODOMA, TANZANIA JOTO la kisiasa limeanza kupanda Tanzania makamu Mwenyekiti wa chama cha Chadema Tundu Lissu akiwasili...

Wasiwasi Urusi ikifanya ushauri na Afrika Kusini

NA MASHIRIKA PRETORIA, AFRIKA KUSINI HOFU imeibuka baada ya Waziri wa Mashauri ya Kigeni wa Urusi, Sergei Lavrov, kuzuru nchini Afrika...

Vibanda vya mahasla vyabomolewa, ziara ya Papa Francis ikikaribia

NA REUTERS KINSHASHA, DRC CONGO VIBANDA vikuukuu vya wafanyabiashara vilivyo katikati mwa jiji la Kinshasha, Jamhuri ya Demokrasia ya...

Watu 600,000 wameuawa katika vita Tigray – Obasanjo

NA MASHIRIKA LONDON, UINGEREZA KIONGOZI wa juhudi za upatanisho kwenye mzozo ambao umekuwa ukiendelea katika eneo la Tigray nchini...

Balozi wa Uganda nchini Kenya afariki jijini Nairobi

NA DAILY MONITOR BALOZI wa Uganda nchini Kenya na Ushelisheli, Dkt Hassan Wasswa Galiwango, amefariki akiwa jijini Nairobi, serikali ya...

DRC yakemea Rwanda kuwakataa wakimbizi

NA BBC KINSHASHA, DRC CONGO SERIKALI ya Jamhuri ya Kidemokrasi ya Congo inashutumu nchi jirani ya Rwanda kwa kutumia suala la...

Kagame akataa zigo la wakimbizi wa DRC

NA AL JAZEERA KIGALI, RWANDA RAIS wa Rwanda Paul Kagame amesema serikali yake haitatoa tena hifadhi kwa wakimbizi wa Jamhuri ya...